Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikurupuke sikiliza hiyo audio amemtaja Ay kama mtu anayejaribu kuwapatanisha.Na wewe umemezwa na uongo uliojaa na hiyo ongea ha ha haaaaaa ,kawapata hata Diamond ana afadhali
Kwanini hakumtaja AY anamtaja meneja? Au umesahau walikuatana vipi Diamond na Davido?
Hakuwa na ubavu ndio anautafuta ili hata Davido labda asikie yupo
Hawana cha maana, ni jina la Diamond wanalitaja ili wapate kiki
Hakuna jingine
Poleni kwa kumezwa na wasio na akili za kujipaisha wenyewe hadi Diamond.
Diamonds are ....
Malizia basi
Na haumpendi Diamond acha kujikosha sijui una wivu nae upi hata zuri uwa unapindisha kiaina, nimekuwa nakusoma sana humu. Hakuna linalojificha chini ya jua
Ukae salama
Unaweza kuta ni yeye mwenyewe au anatuma watu na kuwaambia hizo ishu.duh wabongo hiv mna mda wa kufanya maisha yenu kweli??? maana naona. mnafatilia maisha ya wenzenu waliotoboa kimaisha,, sasa kama hyo ya m10 sisi hatujawah kuskia ila kwa nyie mpo makin sana , mnajua maisha ya hawa wanaume wa dar kiundani sana,, yan unajua kama ni course flan hivi umeisomea una professional nayo..
Hhahahahhaa uchawi pekee halimtoshi cjui aongezwe neno lipi la kumsindikiziaSasa pale alipomwambia kuwa ataenda kwa huyo mzee kwanini mond asiseme kuwa na yeye ana the same idea alichofanya akanyatia akakutwa anafanya kilekile alichosema mwenzake jana yake.
Haya ommy kumshirikisha best yake kuwa ameongea na Davido amekubali colabo kwa dollar 3000 badala hata aseme kuwa na yeye ana the same idea yeye mond akaenda kumzunguka mwenzake akapanda dau akampa davido dollar 5000 wakafanya colabo.
Anatofauti gani na mchawi hapo?
Aiseeee jamaa kweli mswahil nilitegemea hatojibu tena amejifunza lakini kumbe ......View attachment 439059 kwa majibu haya Ommy atakua yupo sahihi,naona Domo kachomwa kumoyo [HASHTAG]#TeamRohoMbaya[/HASHTAG]
Daaa kweli eti unamlalaje mamako kweli duuuuu!!! Hiii hata shetani atafumba macho aiseee kwanza inasimamaje nasikia kutapikaUshoga siku hizi unaeleweka,
Ila kumlala mama ako mzazi Dunia nzima itakushangaa!
Mbona a hata Bob Junior nasikia alikuwa anamlala huyo mama. Hiyo family I think ina shida kama kweli kila j5 wanamalizanaIjazie jazie hii point mkuu sijaelewa
Ukijishusha/ kumwabudu utafanikiwa.Kuna kitu hakipo sahihi.mbona upande mwengine huyo huyo kawanyanyua wasanii wengine.dully sykes video yake kafanyiwa bure na diamond.ravy alikiona kipaji chake akamchukua .harmonize na yeye bongo starch alitolewa ila hakuimba vizuri diamond akamuamini akamchukua.isije ikawa kila mtu akaamua tu kujitetea kwa upande wake. muda mrefu hawako pamoja ommy na diamond.iweje yaibuke sasa?
mi ni wa kike mkuuu... nileteee nyoro uhakikisheKama we ni mtoto wa kiume,dunia ina kazi sana.
Huna lolote timu majajalaniYaniiiiiii Ali Kiba fundi sana.
Hadi nimesisimkwa nikifikiria anavyotambaa na beat na ile sauti yake tamu...
[emoji444] Nainai...ukinikubali sikatai jua you always on mind... (Always on mind)
Ukinipa sikatai nakupenda sana you always on mind...[emoji444]
Achaaaaaa [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariKuna watu wanafikiria kwa masaburi.... Jana tunamsikiliza xxl... Kumbe alikuwa anahojiwa akiwa visiwa vya Mayotte.... mtumeeeee.....
Lkn pia kumbuka Ommy alishafany na JMartin na hao mnaosema wanambania ridhiki ndo walimtafutia izo collable. Mi ninachokiona apo Ommy pia alikuwa tegemezi sana hakuw na juhudi binafs mbn kwa nafasi yake pind amehit angeweza tafuta izo Collable mwenyew au angetafuta wasanii wengn sallam angemsaidia tuJoh anafanya Rap music, tofauti na mond na ommy both wanaimba.
Kwanini Ommy ale makombo wakati yeye ndiyo mpishi mkuu???
Mimi nipike chakula uibe sufuria lote ule chakula uniachie ukoko unadhani nitakula hayo makombo? Hata hiyo sufuria sitaitumia tena, labda nitumie kulishia mbwa.