Interview ya TRA ni lini?

Mpaka wamalize kuwasort watoto wooooote wa vigogo walioomba kisha zibaki hizo nafasi nane (8) zigombaniwe na nyie kajambanani ambao za ndaaaaaani kabisa zinadai mpo elfu kumi na nane 18,000 only
hahahahahahah jaman
 
Si mtaitwa tu una haraka je unauwakika wa kupata iyo kazi
 
Tafuta connection kama uwezo unao ,

kuna kunakikosi chini ya karpet kinaendelea kupangwa .
 
Kabisa
sawa mkuu ila kuna zingine huwa zinapita kimya kimya au unaskia zilishapita so kuuliza muhimu hata hivyo hata km huna uhakika ni vuzuri kujua ipo au haipo instead of kusbr tuu!
Kabisa mkuu nchi ngumu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…