Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Anakatisha watu tamaa , mlioomba endeleeni kujiandaa tu nafasi zenyewe tangu deadline ndio kwanza ina mwezi mmojaHakuna kitu kama hicho acha habari za kusadikika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakatisha watu tamaa , mlioomba endeleeni kujiandaa tu nafasi zenyewe tangu deadline ndio kwanza ina mwezi mmojaHakuna kitu kama hicho acha habari za kusadikika
Upo sahihi mkuu.Utumishi ndio watu pekee wanaoeleweka Unaitwa interview wanasimamia show ukifauru haina longo longo unapewa ajira chaap....sasa hizi taasisi kujidai eti wanaajiri wenyewe ni Nepotism tu hakuna lolote huko... Hizi kazi wawaachie UTUMISHI peke yake
we ndege niniMshajiandaa? Msijekuanza kulia lia
me sijuiWadau interview ya TRA lini? kwa tangazo la ajira lililotanganzwa June 2023😡
Solola byeewe ndege nini