Y Yona simon ngwatu Member Joined Aug 14, 2018 Posts 17 Reaction score 12 Jul 21, 2024 #1 Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.