Interview za TRA zinakaribia soon naomba msaada jamani nondo za tax management officer

Interview za TRA zinakaribia soon naomba msaada jamani nondo za tax management officer

Timoth1234

New Member
Joined
Mar 13, 2025
Posts
2
Reaction score
1
Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
 
emoji23.png
emoji23.png
eti keki ya taifa
[emoji23][emoji23] eti keki ya taifa.
Mwanangu hii ni keki ya TAIFA gombania goli
 
Back
Top Bottom