Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Hello,
Naomba msaada Kwa wenye experience na interview, ntakuwa na interview next week, ila nimeambiwa kuwa lazima uwe na kitamburisho Kwa utambuzi.
Nida namba ninayo ila sijapata kitamburisho, kadi ya mpiga kura ninayo ila walikosea jina. Badala ya kuandika JACKSON waliandika JACKSONI.
hapa Nina kitambulisho Cha NSSF.
Vipi nkienda na barua kutoka serikali ya mtaa inakubaliwa? Kama haikubaliwi nifanyeje ?
Wazoefu ushauri wenu
NB vyeti vyangu VYOTE viko sawa