Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Thanks mkuu, ukiwa nayo hawazingui Kuna mamber mmoja ameniambia kuwa sometimes wanazinguaNenda kwa wakili au mahakamani waku andike affidavit of names
Nenda na barua wanakubali.Hello,
Naomba msaada Kwa wenye experience na interview, ntakuwa na interview next week, ila nimeambiwa kuwa lazima uwe na kitamburisho Kwa utambuzi...
Shukrani, nimesoma tangazo la Tanapa, waliruhusu,Nida,Cha mpiga kura, kitamburisho Cha kazi au lesseniNenda na barua wanakubali.
Nje na Nida na Mpiga kura,
Huwezi kuingia na hivyo vya nssf
Aende na leseni ya udereva kama unayoNenda na barua wanakubali.
Nje na Nida na Mpiga kura,
Huwezi kuingia na hivyo vya nssf
Unaweza kutumia vitambulusho vifuatavyo.Hello,
Naomba msaada Kwa wenye experience na interview, ntakuwa na interview next week, ila nimeambiwa kuwa lazima uwe na kitamburisho Kwa utambuzi.
Nida namba ninayo ila sijapata kitamburisho, kadi ya mpiga kura ninayo ila walikosea jina. Badala ya kuandika JACKSON waliandika JACKSONI.
hapa Nina kitambulisho Cha NSSF.
Vipi nkienda na barua kutoka serikali ya mtaa inakubaliwa? Kama haikubaliwi nifanyeje ?
Wazoefu ushauri wenu
NB vyeti vyangu VYOTE viko sawa
Alright mkuu barua kutoka serikali ya mtaa mtu hawezi kosaUnaweza kutumia vitambulusho vifuatavyo.
Barua ya serikali za mtaa(introductory letter)
Kitambulusho cha Taifa(Nida)
Kitambulisho cha mpiga kura(Voter id)
Hati ya kusafiria(passport)
Leseni ya udereva(driving license)
Kama huna hata kimoja kati ya hivyo basi hata usipoteze nauli yako kwenda kwenye usaili ..utumishi hawana mzaa