snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,433
- 1,176
Ninapenda kuwataarifu wale wote wanaohitaji msaada kwenye research papers, questionnaires na interviews kwa ngazi ya masters na Phd, help is here, tunasubmit questionnaires kwa areas of interest, na zitajazwa kwa muda ambao tutakubaliana.
Pia we can schedule interviews for you ama tutakusaidia kuhoji watu utakao na kukutumia sound clips au video clips kama utapenda........this service is ONLY available in northern highland regions, yaani Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara.......tuna experience ya kutosha natumaini utafurahia huduma zetu....
For any in need feel free to PM me...ahsanteni...
Siku njema
Wenye queries zozote,just comment under my post, nitawajibu