Interviews,questionnaires na research paper works at reasonable rates

Interviews,questionnaires na research paper works at reasonable rates

Status
Not open for further replies.

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,433
Reaction score
1,176
Ninapenda kuwataarifu wale wote wanaohitaji msaada kwenye research papers, questionnaires na interviews kwa ngazi ya masters na Phd, help is here, tunasubmit questionnaires kwa areas of interest, na zitajazwa kwa muda ambao tutakubaliana.

Pia we can schedule interviews for you ama tutakusaidia kuhoji watu utakao na kukutumia sound clips au video clips kama utapenda........this service is ONLY available in northern highland regions, yaani Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara.......tuna experience ya kutosha natumaini utafurahia huduma zetu....

For any in need feel free to PM me...ahsanteni...

Siku njema

Wenye queries zozote,just comment under my post, nitawajibu
 
Yaani unamaanisha mnataka wanafunzi wa Masters na PhD waje kwenu muwatengenezee research papers na ma-questionnaire yake? Then wakimaliza elimu yao waajiriwe kufanya tafiti? Mtakuwepo pia kuwasaidia kufanya tafiti watakapokuwa wameajiriwa?

Labda sijaelewa vizuri hapa, hebu niweke sawa, hasa kwenye swala la research, tena kwa wanafunzi wa Masters na PhD
 
thanx for the info but i wana do my Msc research on my own
 
Duh, yaani mnauza videsa!! Huu ukosefu wa ajira drives people crazy
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom