Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
hahahha dah natamani ningeisikiliza hiyo interview....umesimlia vizuri hadi rahakibakuli ni mshamba.....kuna siku dozen alikuw anamhoji kuhus richone kusajili line kwa jina la kibakuli na kutapeli watu,akasema ishu hiyo hawezi zungumzia ....dozen akampiga bit watu wanataka kujua jamaa kakomaa,dozen akamwambia poa basi tufanye interview yetu imeishia hapa na ndo mwisho wako kufanya interview na dozen/xxl.kibakuli baada ya kuona mungu mdogo wa show ya mchana toka mawimgu mwemyewe ikabid afunguke..
conc.majibu yake pia yanategemea 'ntu na ntu'akiona huyu nammudu anajichagulia maswali yanayompendeza.
Ndugu unatakiwa utambue kuwa wale watangazaji ni watu wenye elimu na kazi yao pamoja na maadili kwaiyo awawezi kumuuliza maswali nje ya utaratibu na misingi ya utangazaji kwaiyo yeye mwenyewe ndo anatakiwa atumie akili kujibu na sio kuacha nafasi wazi, je atajibu nani ayo maswali kama sio mhusika? Ajipange upya next time ali.Wewe mtoto wa kiume ujue...unataka kufahamu siri zipi za alikiba...mmeuliza swali lolote kuhusu mziki wake akadhindwa kulijibu...or mnataka kujua kuwa huwa anamgegeda bao ngapi wife wake
Acha mfanyia pia mambo ya kipuuzi sam misago kwenye FNLhahahha dah natamani ningeisikiliza hiyo interview....umesimlia vizuri hadi raha
NdiyoKwa vile yeye hapafahamu CMG?
Nyie washabiki wa chaijaba..mtafutieni chaijaba interview ili ajibu mnavyotaka nyinyi...alikiba tuachieni c washabiki wake tunampendea hiyo life style yake...tangu lini nyi mashabiki wa chaijaba mmeanza kuwa washauri wa alikiba kimuzikiNdugu unatakiwa utambue kuwa wale watangazaji ni watu wenye elimu na kazi yao pamoja na maadili kwaiyo awawezi kumuuliza maswali nje ya utaratibu na misingi ya utangazaji kwaiyo yeye mwenyewe ndo anatakiwa atumie akili kujibu na sio kuacha nafasi wazi, je atajibu nani ayo maswali kama sio mhusika? Ajipange upya next time ali.
Hahahahaha! DahDaaaah.
Hayo maelezo yako nikajua una mu explain Jiwe
Ni Haki Yako, Maana Unajulikana Mtaani KwenuAm too personal too