Sio majivuno ya kishamba.
Ally ana limited exposure kwenye mambo mengi ukijumlisha na shule ndogo unaona kabisa tatizo alilonalo.
Mtu anaweza kua na shule ndogo ila akawa na expisure kubwa kama Diamond, lazima atabadilika na uwezo wake wa kuelewa mambo utapanuka. Hata waswahili husema kuzaliwa mjini ni sawa na kusoma form six, sio kwamba mjini kuna elimu ya bure, hapana, exposure inayotokana na mazingira ya mjini sio sawa na bush.
Ally ni mswahili na hataki uswahili umuache, hakuna tofauti kati ya Ally na Hamorapa, wote wana majina makubwa ila limited exposure.
Sio kwamba Ally anaringa, hapana, ni ushamba ukijumlishwa na uelewa mdogo wa mambo kuhusiana na hadhi yake.
Ushamba ni mzigo.
cha kushangaza mda wote wanakunywa energy wakati energy mwisho mbili kunywa
Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke
Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo
Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
Anatakiwa ajifunze sana kwa mwenzake anayejilinganisha naye.Hahaahaaa....
Inasikitisha....
Exposure! Huo ndio ukweli
Sio umbeya, nilisikiliza intavyuu moja ya Mond akihojiwa na Magic fm, Yule jamaa he knows his crafts very well, yaani alivyokuwa anaelezea kuhusu gharama za kuproduce, kupromote na hadi anakuja kupata faida za ngoma zake, mtu lazima uwe inspired.Mi sioni km kuna tatizo kwa ali kiba, Tatizo ni nyie watanzania kupenda umbea kupita kiasi hpo mlitaka afunguke kila kitu ili roho zenu zifurahi
ali kiba ni binadam km binadam wengine mambo yake km anatka kuyaweka privacy heshimuni na muufurahie mziki wake tu! inatosha ...mambo ya kutaka kujua alikutana vipi na mkewe hayatowasaidia lolote
Mie Sio Shabiki wa Diamond wala Ali Kiba ila Kwenye Usocial KIBAKULI yaani ni F(Sifuri kabisa),Yaani Sijajua kitu gani kina mpa jeuri ya kujifanya yupo juu,Kama hautaki kujibu maswali usiende kwenye interview,personal personal for what? Huyu Jamaa anatembelea nyota ya diamond,watu wanaomchukia diamond wanamsupport KIBAKULI ili kumshusha,sisemi hivi kwa sababu mie ni shabiki wa domo hapana sio shabiki wa DOmo kabisa,Seven mshauri huyo KIBAKULI abadilike asilete ujuaji kwa mashabiki wake.Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.
Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa atajibu 2 tu!
Yeye kwake kila kitu nni PERSONAL... Aaagrh, wewe ni msanii mkubwa bwana, watu wanapenda kujua na kujifunza kutoka kwako including some of your personal life stories (Sio kila kitu off course cha kuweka hadharani) lkn kwako ni too much!
Sasa umejipeleka mwenyewe kwenye vipindi kama LEO TENA na SHILAWADU, na unajua kabisa aina za interview ambazo huwa zinafanyika kule, matokeo yake kila saa unatishia kuondoka...
THIS IS TOO LOW BROTHER!
Huyo mkewe aliyempeleka anafanya muziki?Kwa hiyo kwakuwa amekuja leo tena unazani unahaki ya kumuuliza maswali ya ndani kabisa.alikuja kuhojiwa kuhusu mziki wake..sasa we nijibu ni swali gani aliloulizwa kuhusu mziki wake hakulijibu???
hahaha alijibu vipi hiyo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anapenda sana hilo neno
Hata US kwa R.Kelly alimwambia hivyo hivyo " pop in"
Sijui humaanisha nini?![emoji15] [emoji15]
hili kweli mkuu hata mimi nimeliobserve hili...kama mjivuni flani hivi..mafta mengii kama nyama ya kitimoto
Weken kavideo basi kusuport hii habar aisee, maana wengine hivyo vipindi tajwa hapo juu hua hata sina muda navyo kabisa aisee,
ally atakuwa alitongozewa dem na Joho binamu wa AminaNaunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke
Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo
Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]