Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Sio majivuno ya kishamba.

Ally ana limited exposure kwenye mambo mengi ukijumlisha na shule ndogo unaona kabisa tatizo alilonalo.

Mtu anaweza kua na shule ndogo ila akawa na expisure kubwa kama Diamond, lazima atabadilika na uwezo wake wa kuelewa mambo utapanuka. Hata waswahili husema kuzaliwa mjini ni sawa na kusoma form six, sio kwamba mjini kuna elimu ya bure, hapana, exposure inayotokana na mazingira ya mjini sio sawa na bush.

Ally ni mswahili na hataki uswahili umuache, hakuna tofauti kati ya Ally na Hamorapa, wote wana majina makubwa ila limited exposure.

Sio kwamba Ally anaringa, hapana, ni ushamba ukijumlishwa na uelewa mdogo wa mambo kuhusiana na hadhi yake.

Ushamba ni mzigo.

Yaani atakaekataa haya uloeleza atakua hajafuatilia interviews za huyu jamaa
 
kiba na seven chukueni ushauri wa magreat thinkers humu ndani maana niliskiza interview nikaona aibu dah. ukishajijua wewe ni celebrity/public figure alafu media na audience ndo watu wako basi usikwepe mishale ya maswali na kukosolewa.
 
Mnataka kujua nini Zaidi ya Mziki wake? Unataka mpaka akwambie alimtongozaje mke Wake? Acheni unafiki na umbea
 
Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke

Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo

Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]

Mi sioni km kuna tatizo kwa ali kiba, Tatizo ni nyie watanzania kupenda umbea kupita kiasi hpo mlitaka afunguke kila kitu ili roho zenu zifurahi

ali kiba ni binadam km binadam wengine mambo yake km anatka kuyaweka privacy heshimuni na muufurahie mziki wake tu! inatosha ...mambo ya kutaka kujua alikutana vipi na mkewe hayatowasaidia lolote
 
Msanii Bongo anae fanya vizuri kwenye interview ni Dogo Janja Tuuu! Fuatilia Interview zake na Katika watu ambao hawajui kufanya interview ni Ali kiba Na Harmonize
 
Mi sioni km kuna tatizo kwa ali kiba, Tatizo ni nyie watanzania kupenda umbea kupita kiasi hpo mlitaka afunguke kila kitu ili roho zenu zifurahi

ali kiba ni binadam km binadam wengine mambo yake km anatka kuyaweka privacy heshimuni na muufurahie mziki wake tu! inatosha ...mambo ya kutaka kujua alikutana vipi na mkewe hayatowasaidia lolote
Sio umbeya, nilisikiliza intavyuu moja ya Mond akihojiwa na Magic fm, Yule jamaa he knows his crafts very well, yaani alivyokuwa anaelezea kuhusu gharama za kuproduce, kupromote na hadi anakuja kupata faida za ngoma zake, mtu lazima uwe inspired.
Akizungumzia kuhusu management ya Wasafi unaona kabisa huyu ni CEO.
Na Mond tumemuona toka enzi zile anaimba Mbagala, kipindi kile kiingereza hajui, kujieleza hajui lakini Leo amepiga hatua kubwa sana.
Kiba kinachombeba ni beef Mond tu, hana jipya
 
Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.
Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa atajibu 2 tu!

Yeye kwake kila kitu nni PERSONAL... Aaagrh, wewe ni msanii mkubwa bwana, watu wanapenda kujua na kujifunza kutoka kwako including some of your personal life stories (Sio kila kitu off course cha kuweka hadharani) lkn kwako ni too much!

Sasa umejipeleka mwenyewe kwenye vipindi kama LEO TENA na SHILAWADU, na unajua kabisa aina za interview ambazo huwa zinafanyika kule, matokeo yake kila saa unatishia kuondoka...

THIS IS TOO LOW BROTHER!
Mie Sio Shabiki wa Diamond wala Ali Kiba ila Kwenye Usocial KIBAKULI yaani ni F(Sifuri kabisa),Yaani Sijajua kitu gani kina mpa jeuri ya kujifanya yupo juu,Kama hautaki kujibu maswali usiende kwenye interview,personal personal for what? Huyu Jamaa anatembelea nyota ya diamond,watu wanaomchukia diamond wanamsupport KIBAKULI ili kumshusha,sisemi hivi kwa sababu mie ni shabiki wa domo hapana sio shabiki wa DOmo kabisa,Seven mshauri huyo KIBAKULI abadilike asilete ujuaji kwa mashabiki wake.
 
Mimi nawapenda wote! Ali na Mondi.
Sipendi mmoja wao abebwe, kila mtu ajibebe mwenyewe!!
Ali anahitaji mbeleko hadi kwenye interview!
Kuongea au kujibu maswali ni kipaji ambacho Kiba hana.
Mondi anajibeba mwenyewe!
Tumchukulie kila mtu kama alivyo!
Halafu tupende kazi zao tu!
 
Naunga hoja mkono
SWALI MTANGAZAJI: Mlikutanaje na Ali Kiba
ALI KIBA: Usijibu hilo swali utanianika
MTANGAZAJI: Tunataka kujua tu Ally
ALI KIBA: Hapana usijibu mwanaume ndo anamfata mwanamke

Ningekua mimi ningemfukuza na hiyo sikukuu ingeishia hapo

Kinachomuweka Kiba ni roho mbaya za wabongo kwa Diamond ila Kiba kwa domo ana mengi ya kujifunza [HASHTAG]#Mofayagwanyoko[/HASHTAG]
ally atakuwa alitongozewa dem na Joho binamu wa Amina
 
Back
Top Bottom