Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

kama mkifuatilia vipindi vya mikasi vya salama jabir,kuna kipindi chake kimoja salama alimuacha akawa anahojiwa na vinyozi tu.na alipoondoka salama hakutaka hata kumuaga.ngoja niitafute niione vizuri u tube
 
Nyie wapuuzi kweli...mnataka ali awe kama domo wenu zee la kuropokaropoka...ingekuwa ni domo kaulizwa lile swali kuwa alikutanaje na mpenzi wake angetuhadithia kila kitu ampaka siku ya kwanza kumgegeda na alimgegeda bao ngapi...ali sio mtu wa hivyo...kama hamumpendi mkiona anafanya interview muwe mnabadilisha channel mnaweka channel kuangalia interview za kina domo
 
Ni kweli Kiba anazengua ,usiri katika mambo yako kama binadam ni vzr ila kuna mambo kama msanii lazima uwe open ili watu wakufaham hasa washabiki zako na wajifunze kutoka kwako.
Wewe mtoto wa kiume ujue...unataka kufahamu siri zipi za alikiba...mmeuliza swali lolote kuhusu mziki wake akadhindwa kulijibu...or mnataka kujua kuwa huwa anamgegeda bao ngapi wife wake
 
Clouds ni kama mwanamke aliyeachwa na mwanaume wake,anatafuta mwanaume mwingine kwa nia ya kumfunika yule wa kwanza,anapata lakini aliyempata ni goigoi na habebeki hata kwa mbeleko ya chuma.
 
Sio majivuno ya kishamba.

Ally ana limited exposure kwenye mambo mengi ukijumlisha na shule ndogo unaona kabisa tatizo alilonalo.

Mtu anaweza kua na shule ndogo ila akawa na expisure kubwa kama Diamond, lazima atabadilika na uwezo wake wa kuelewa mambo utapanuka. Hata waswahili husema kuzaliwa mjini ni sawa na kusoma form six, sio kwamba mjini kuna elimu ya bure, hapana, exposure inayotokana na mazingira ya mjini sio sawa na bush.

Ally ni mswahili na hataki uswahili umuache, hakuna tofauti kati ya Ally na Hamorapa, wote wana majina makubwa ila limited exposure.

Sio kwamba Ally anaringa, hapana, ni ushamba ukijumlishwa na uelewa mdogo wa mambo kuhusiana na hadhi yake.

Ushamba ni mzigo.
Yap nakubaliana na Analysis yako, ila Music wake ni mzuri jinsi unavyosikiliza unapata hamu ya kusikiliza tena na tena.
 
Wewe mtoto wa kiume ujue...unataka kufahamu siri zipi za alikiba...mmeuliza swali lolote kuhusu mziki wake akadhindwa kulijibu...or mnataka kujua kuwa huwa anamgegeda bao ngapi wife wake
Acha kutetea ujinga,

Alikiba ni mshamba,hana mikogo ya 'kistar' na ukumbuke hii mikogo ya kistar ndio inafanya wenzake wanang'aa.

Kwanza kujieleza hajui,na ni msanii anayejiona mkubwa mno tofauti na uhalisia.

Kwamfano nimeona anaulizwa hivi, "nimesikia mkeo ndio kaifungua nyumba yako mpya na sasa mnaishi huko" yeye anajibu, "umesikia,sijasema" huu sio ushamba?
 
Acha kutetea ujinga,

Alikiba ni mshamba,hana mikogo ya 'kistar' na ukumbuke hii mikogo ya kistar ndio inafanya wenzake wanang'aa.

Kwanza kujieleza hajui,na ni msanii anayejiona mkubwa mno tofauti na uhalisia.

Kwamfano nimeona anaulizwa hivi, "nimesikia mkeo ndio kaifungua nyumba yako mpya na sasa mnaishi huko" yeye anajibu, "umesikia,sijasema" huu sio ushamba?
Sasa wewe habari za nyumba yake zinakuhusu nini....mwisho wa siku utataka kujua anamgegeda wife wake mara ngapi kwa wiki...hakuna haja ya mapovu nyie endeleeni kushabikia hao wenye mikogo ya ki star alikiba tutamshabikia sisi tusiopenda mikogo ya ki star tunaopenda mziki mzuri...mziki unaoweza kukaa na babu bibi na mama sebuleni mkaangalia video yake...nyie endeleeni kushabikia video za hao wanaochezea matako ya dada zenu hadharani...hao wanaorecord porn na kuzirusha kwenye mitandao alafu anatokea mtu kama wewe anasema hiyo ni mikogo ya ki star
 
hearly
Njoo huku Kiongozi..!
teheeee""" chief naona mtoa mada kamdamkia alikiba....naheshimu Mawazo yake "" wajua asiye hili analile mkuu"" so kwa mantiki hiyo tunapaswa haswaa kuangalia mazuri wanayofanya wenzetu zaidi kuliko mabaya yao "" kama mazuri yatakuwa ni mengi kuliko mabaya "" basii mtu huyo anapaswa kuitwa ama kuonekana nimstaarabu"" siwajua tena binaadamu tunasifa yakukosa ukamilifu....""
 
Ukweli lazima abadilike unapokuwa katika interview sio sehemu ya kufanya utani inabidi ujieleze watu wakuelewe na kama hutaki kujibu maswali whats point ya kwenda kufanya interview? umejenga nyumba sema yes true ila sio muhimu kutaja gharama. Mimi nalaumu management yake ni lazima wamfundishe lazima afunguke unless kama ni mambo personal sana sio lazima ujibu ila yeye analeta utoto mwingi eti nitaondoka? what? wewe unahitaji media kama wanavyokuhitaji unakuwa umejiandaa ongea weka mambo sawa vinginevyo unaacha maswali kuliko majibu. kama unakaa Masaki kwani aibu, feel proud. I hope atasoma comments yeye na management yake lazima abadilike, grow up.
 
Back
Top Bottom