Introducing "Dead Beat Kenya"

Introducing "Dead Beat Kenya"

Preta, cacico, AshaDii, BAK, afrodenzi, BiMkubwa, Dingiswayo, FirstLady1, Geeque, Idimi, Kibunango, Maria Roza, Mama Mdogo, NaimaOmari, @RR, Steve Dii, The Boss, Saint Ivuga, WomanOfSubstance,

Ngoma inogile wadau,

Njemba zimezaa na kina dada afu zikaingia mitini...leo hii kaja jamaa kule Facebook kaanzisha hii site ya 'Dead
Beat Kenya' ambako sura zao pamoja na namba za simu wanatundika. Sijui watu watajificha wapi...😛eep:

Karibuni.

duuuhhhh
Kazi ipo halafu hapo usikute jamaa ana mke na watoto nyumbani huku kazaa nje .
 

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom