Introducing New Range Rover Sport

Aisee hii mashine ni sayari nyingine ebu fikiria hiyo technology iliyotumika ya dynamic air suspension yaani inabalance gari hata kama utakunja Kwa speed kubwa bado zitatanuka upande mmoja na kubalance iwe lever moja na suspension za upande WA pili...
Kuanzia music ndani ndiyo balaa gari ina speaker 29 za kuchuja muziki hakika hapa wanastahili pongezi Kwa kuwekeza kwenye hii gari Kwa kipindi cha miaka 5
Wazungu watabakia kuwa wazungu to
 
Duh sijui kwanini Boris hakuona hizi range Rover zenye state of art tech akaenda kuhangaika na ma land cruiser 'magari ya kinyonge ' hayana hata tech ya maana[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2221129
Mkuu najua wewe ni mjapenga kindakindaki[emoji28][emoji28][emoji28] yale maumivu ya air suspension hutaki tena kuyasikia..

Chukua chuma hiyo utakuwa unaenda kusaini contract halafu field unazama na 70 series!!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Hahah naaam mkuu na hayo ndio matumizi sahihi kabisa ya Range πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.
 
Limepiga tope lakini limetoka safi, hili gari balaa....[emoji16]

Usichukuliwe kirahisi hivyo na matangazo. In real life vitu vinaweza kuwa tofauti kidogo. Generally Land Rover (hasa hizi range na disco) ni expensive sana kuzihudumia na si mojawapo ya magari ambayo unaweza ukayatumia kama wanavyotangaza hapa kila siku, unless uwe na hela nyingi ya kufanya repairs. LR Defender za zamani pekee ndizo unaweza kuzipiga hivi kila siku.
Hizo air suspension zenyewe tu ukizipiga kwenye barabara zetu hizi vizuri hazikawiagi kusumbua.
Overall ni gari luxury ila….
 
All luxury cars are expensive to own and operate.
 
Hawa nao wavivu, mbona Kipanya anafyatua mapema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…