Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 769
- 1,237
Sifa zote ulizotaja hapo sioni reliability... Unarudi kule kule kwenye pride... Narudia tena... The fact kwamba lazima ununue 0km ndio uone ni gari nzuri inaonyesha ni namna gani ni unreliable...Achaneni na story za kuambiwa na wamiliki wa RR used toka singapore au kama umemiliki RR used, RR ni gari, kuanzia HP, speed, luxury, muonekano, features n.k LC ni haina nafasi, RR ipo engineered kuliko LC hiko ndicho kinafanya muone sio reliable.
Kama ni kununua kwajili ya pride ukipita kitaa hapa nitakubaliana na wewe 100%. Ila kwenye issue ya ubora na matumizi nitapingana na wewe.