Na nyie huko kwenu RR sio reliable?Nimetafuta comment hata moja inayoongelea impact ya hii gari kwenye mazingira kwa kulinganisha na nyingine zilizo karibu nayo, sijapata.
Mwaka jana nilikuwa na uamuzi wa kununua Range Rover au BMW, nikaenda na BMW kwa kuangalia impact ya gari kwenye mazingira.
Halafu rafiki yangu akanunua RR, nikasema bora, maana ingekuwa kama tumenunua "saresare maua".
Kwenye design, performance, engineering, off road capability LC haiikuti RR, kwanza LC uzoefu wa kuindesha ni tofauti mno na RR, ukiendesha RR ukaendesha na hizo LC utajua utofauti, ukiwa kwene RR, hata hizo LX ni luxurious but its not going to have the same level na RR kwenye tech. RR ukiendesha unahisi kabisa unasukuma chuma ya kifahari yaani sijui imetengenezwa vipi.Gari zote ambazo sio Toyota ni unreliable kwao.
Miaka 3 - 4 nyuma, ulikuwa ukileta nyuzi za Subaru, Nissan, Mazda, Honda utapewa ushauri wa kutisha.
Leo hii hizo gari zinanunuliwa kila kukicha na hakuna kelele zinapigwa kuwa ni unreliable.
Kwao reliable car ni kuizamisha mtoni na itoke upande wa pili ikiwa nzima bila shida.
Gari zote kuanzia 2015 ukii-abuse kama wanavyotaka wao itakufika kesho yake.
Kwenye design, performance, engineering, off road capability LC haiikuti RR, kwanza LC uzoefu wa kuindesha ni tofauti mno na RR, ukiendesha RR ukaendesha na hizo LC utajua utofauti, ukiwa kwene RR, hata hizo LX ni luxurious but its not going to have the same level na RR kwenye tech. RR ukiendesha unahisi kabisa unasukuma chuma ya kifahari yaani sijui imetengenezwa vipi.
Ukiiangalia tu RR ndani ilivyo wallah kama mpunga upo nanunua hio chuma hata kama ni bei naiacha hio LC hapo, hakuna sababu itanifanya nichukue LX/LC over RR, there is absolutely zero reason.
Unapozungumzia luxury LX/LC ni poorly, tech zake ni ancient, mkuu sijui niseme nini waelewe, niseme tu LC ni uchafu kwa RR, full stop.
Gari kuwa reliable ni mfuko wako, RR haijaandikwa kwamba ikitembea km flani inakufa, gari ni matunzo, RR imetengenezwa kwa watu ambao ni upper class ambao wanaweza kumudu maintenance cost.Shida ni either mmevamia mada au mmeleta sentiments sababu magari yenu pendwa yanaongelewa weaknesses zake. Mada hii ilianza baada ya mchangiaji mmoja kuisifia RR kuwa inpita kwenye tope, mawe n.k Nasisitiza hii siyo strong point yake, actually kama unataka kuitupa hii gari mapema itumie hivyo hata kama una hela. Hao kina Jay Z ambao mnaonyesha hapa wakishuka kwenye RR na wamarekani wengine mnaosema wanazinunua sana hizi gari tafuteni kujua wanazitumiaje hizi gari, ni kwenye njia nzuri. Chukua LC na hii RR nenda nazo huko mara kwa mara uone nani atakuwa narudi salama au bila ngeu.
RR itabaki kuwa more luxurious, sophisticated with more features lakini least reliable over time when it comes to matumizi kama kwenye hili tangazo compared to LC/LX. Tunaposema its less reliable hatuangalii zimenunuliwa ngapi, tunaangalia matatizo mangapi yamekuwa reported kwa percentage. Kama mnabishia na hizo numbers basi tena.
Mada inahamishwa sana, mara toyota vs other brands, mara Benz vs Toyota. Mimi sikuwahi kusema kila brand tofauti na toyota ni unreliable. Kwanza hata gari nayomikiki siyo toyota.
Na kikubwa cha mwisho, hakuna anayekushauri au kukushawiahi usinunue RR, hapa ni ukweli tu unasemwa kwamba they are less reliable than LC or LX especially kwa matumizi yote (on road na offroad). Kama una data za kupinga hili leta, msilete habari za ipi ni luxury au ipi inauzwa sana, hiyo inajulikana, kwamba ni luxury zaidi, ni comfortable zaidi kuiendesha, ina features nyingi zaidi, na inaharibika zaidi.
Gari kuwa reliable ni mfuko wako, RR haijaandikwa kwamba ikitembea km flani inakufa, gari ni matunzo, RR imetengenezwa kwa watu ambao ni upper class ambao wanaweza kumudu maintenance cost.
RR ikiwa mpya inatembea miles za kutosha mno na inakaa miaka mingi tu bila shida yeyote.
Kama unaona maintenance cost ni kubwa hamia LC. Kitu kizuri lazima ugharamike.
Chukua LC na hii RR nenda nazo huko mara kwa mara uone nani atakuwa narudi salama au bila ngeu.
RR itabaki kuwa more luxurious, sophisticated with more features lakini least reliable over time when it comes to matumizi kama kwenye hili tangazo compared to LC/LX.
Tafuta pesa upunguze kujieleza…….hahahahah….Tafuta maana halisi ya reliability.. Reliability haihusiani na uwezo wa mtu kuhudumia kitu...
Kama muda wote unawaza kuhudumia then hakuna reliability hapo... Ki ufupi unachoongea hapo ni kusema sio reliable ndio mana lazima uwe tajiri maana muda wowote hilo ni kama jipu, linatumbuka mahali popote...
The only area ambayo unaweza zungumzia hizi gari labda ni swala la kua na mambo mengi, zaidi ya hapo sioni kipya... Tukizungumzia comfortably kwamba LC na LX sio conformable enough?? Labda mtuambie comfotability kwenye kitu gani haswa??
Unless uwe unazungumzia hizo option za kufungua mlango kwa finger prints, souti na kadhalka, ila Tukizungumzia ya gari inapotembea barabarani LC na LX ni comfortable sana tu.... Speed inatosha kabisa kwetu huku...
Kikubwa ninachoona kwenye RR ni pride.
Reliable is relative to need, kwangu mimi kitu cha concern kabisa ni snow. Which RR handles very well.Na nyie huko kwenu RR sio reliable?
When it comes to the best offroading vehicle hakuna kama RR & G wagon.
Vile wamiliki hawazipeleki huko.
Ni mpumbavu pekee anaetumia RR kubebea vifusi kama unataka kutuaminisha hapa.
Shockups zinaharibika, Coil Spring zinakatika. Sasa iweje hiyo air suspension isiharibike?
Zingekuwa zinashida kama unavyotaka kutuaminisha hapa ungekuta kuna recalls za kutosha kila mwaka.
Kama kufanya service and maintanance ndo kufanya gari isiwe reliable basi hata hizo LC sio reliable. Kwamba leo utengeneze air suspension kesho ife?
Jiulize kama gari sio reliable, kwanini kila siku zinatengenezwa? Na hakuna siku unasikia recalls za kutisha? Na new models zinatolewa na pre orders zinajaa.
Ndo maana nasema reliability ni state of mind. Air suspension ikiharibika inakutoa roho? Hahaha.
Mwanzoni si mlisema waarabu wa dubai wanazibamiza LCs kwenye michanga huko jangwani? Ila RR haiwezi fanya hivyo.Hizi story za kubeba vifusi na magari haya unazitoa wapi?
Everyone can have his list published.View attachment 2224649
View attachment 2224650
View attachment 2224651
Nasisistiza tu kuwa hakuna anayekatazwa kupenda kitu
Mwanzoni si mlisema waarabu wa dubai wanazibamiza LCs kwenye michanga huko jangwani? Ila RR haiwezi fanya hivyo.
The way you present it, sounds like gari ya kubebea vifusi.
Una abuse gari purposely kuipima reliability yake? Kifaa kimeharibika hutaki badilisha kisa unapima reliability yake? Au unapitiliza service kwa wakati kisa gari ni reliable?
The way you present unreliability ya RR ni kama kila asubuhi unaamka gari haiwaki, ukiwa barabarani gari inajifia out of blue.
Naona kijana anakaza Ubongo hajui kuwa mjapani kwa Precision alishampiga Gap kitambo huyo muingereza😅😅😅 yani isingekuwa Marekani kumtwanga Nuclear mjapani leo hii tungekuwa tunaizungumzia Japan katika nafasi ya USA na Europe.Hahah Naona mwingereza wa katavi umeshapaniki tayari,Nina experience na Product za Landrover(Disco Ilinisumbua Air suspension Sana na magonjwa mengine kibao).
Sasa fogo nipe na we experience yako ya RR 0km unayoimiliki.
Benz wana precision katika uundaji wa magari yao tofauti kabisa na wajerumani wengineo.Nimeshamiliki Toyota.
Na hiyo Toyota ilishanifia sensor zaidi ya mara 1 out of nowhere.
Na nimemiliki Benz for 5 yrs haijawahi nifia popote. And it's the most reliable car i have own.
Kwenu reliability ni kuibamiza mapangoni, kutoifanyia service kwa wakati, kifaa kimeharibika unaendelea kutumia bila kukibadili.
Ndo maana nakwambia reliability ni state of mind. Tayari umeshajiwekea Toyota ni reliable na others are not.
Hizi zilikuwa gari kweli mzee sio upuuzi wa kuanzia 1998 na kuendelea.View attachment 2223965
Hapo vipi...!!
Toyota ukiwa unazingatia services kwa wakati na haufungi counterfeit parts haiwezi kuwa inakupeleka garage zaidi ya zile regular maintanance za oils & filters kwa kipindi kirefu mno tena ukiwa uliagiza ikiwa na few kms lets say 20,000Kms tu hapo utaliburuza mpaka hata 400,000kms. kisha ndio ufanye overhaul.Yap... Swala sasa hapa hadi unafika hizo km hii gari itakua imekusumbua mara ngapi..
Mfano ukitaka kununua BMW let's say X5, kama ni used unashauriwa usinunue iliyofika km 100000 na kuendelea.. Inamana kwamba ukinunua hii inakua spana mkononi tayari ila toyota nyingi km hizi wala sio tatizo.
Everyone can have his list published.
Mimi nina "Mapenzi ya Upofu"Kwa hiyo tuache kuamini taarifa kama hizi zenye data tuamini maneno yenu yanayoyokana na mapenzi ya upofu ya RR. Lets be real hapa.
Siyo dhambi kupenda unachopenda lakini tusipotoshe ukweli, strengths na weaknesses za RR zinajulikana dunia nzima, UK tu ndo wanakuwaga wanasiasa hawasemi sana matatizo ya LR.