M Mama Joe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,504 Reaction score 840 Mar 31, 2009 #1 Hi! Habari wanaJF wote, Ninaomba kupokelewa kwenu, natuamini nitapata mengi kutoka JF na nikijaaliwa mtapokea pia kutoka kwangu. Ahsante, Mama Joe
Hi! Habari wanaJF wote, Ninaomba kupokelewa kwenu, natuamini nitapata mengi kutoka JF na nikijaaliwa mtapokea pia kutoka kwangu. Ahsante, Mama Joe
K Kyachakiche JF-Expert Member Joined Feb 16, 2009 Posts 986 Reaction score 208 Mar 31, 2009 #2 Karibu jamvini mama Joe. Tunasubiri mengi kutoka kwako!