Introduction

Introduction

SG255

Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
5
Reaction score
3
Hey wakuu, Mambo vipi! Aisee baada ya kua mchunguliaji humu ndani kwa takribani miaka sita nmeamua rasmi sasa kuregister naombeni mnipokee mgeni mwenyeji
 
Hey wakuu, Mambo vipi! Aisee baada ya kua mchunguliaji humu ndani kwa takribani miaka sita nmeamua rasmi sasa kuregister naombeni mnipokee mgeni mwenyeji
Karibu, uwe baroz mwema kwa jamii inayokuzunguka. Binafsi nimeleta vijana kadhaa humu ndani.
Karibu sana
 
Ungesema na jinsia yako, ungetusaidia sana sisi babyz hunters.
 
Back
Top Bottom