Intuition inaniambia simba inatinga nusu

Intuition inaniambia simba inatinga nusu

Nakuelewa mkuu. Hio ni hali inatukutaga mashabiki unawaza hivi tukishinda furaha itakuaje!
mimi kesho natamani ninywe piritoni nilale.
mana presha nilioipata jumamosi sisahau
 
Sijui ni nini hiki ila kila mda thoughts zinakuja eti simba ameshinda kuingia nusu. Wametoka 1-0 then matuta akashinda ayoub katoa mikwaju miwili.....

Huu mpira addictive sana! #nguvu_moja
Inaonekana swaumu ya leo kali.
 
Nakuelewa mkuu. Hio ni hali inatukutaga mashabiki unawaza hivi tukishinda furaha itakuaje!
mimi kesho natamani ninywe piritoni nilale.
mana presha nilioipata jumamosi sisahau
Yatapita tu yanamwisho.
 
Simba kuishia robo fainali ni kawaida. hata haijulikani wamefikaje huku kwa wababe na timu kimeo. Al Ahly wanacheza kimbinu na kiakili sana kesho watafunga goli moja tu kisha watajiangusha kwa dkk zote zinazobaki. Mpira utaboa sana.

Mechi ya uto ndo itakuwa kali piga nikupige!! Goli pekee la mchezo atafunga Mzize!
 
Back
Top Bottom