SOFTWARE Inventory Management System

SOFTWARE Inventory Management System

Pancras Suday

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
8,141
Reaction score
3,838
Tehama Mtatuzi inakuletea mfumo wa usimamizi wa mahesabu yaani Inventory Management System utakaokusaidia kwenye duka lako au store yako kufanya vitu vifuatavyo

1. Kurekodi bidhaa zote zilizo kwenye duka

2. Kujua kama bidhaa zimepungua zinahitaji kuongezwa

3. Kutengeneza order kwa wateja wako

4. Kujua order zilizolipiwa na ambazo hazijalipiwa kwa urahisi

5. Kutengeneza ankara (invoice) za wateja kwa urahisi

6. Kurekodi matumizi yako (expenditures)

5. Kukokotoa faida ya mauzo kwa kila bidhaa unazouza

8. Kutengeneza repoti mbalimbali kama vile order report, receiving reports na expenditure reports

9. Uwezo wa kusimamia maduka/store zaidi ya moja (hata una maduka 200)

10. Uwezo wa kutengeneza magroup ya wafanyakazi wako kulingana na majukumu yao na kuwapa ruhusa (permissions) kulingna na majukumu yao



Kama utatuletea mteja, kila mteja utakayemleta akanunua mfumo huu wewe tunakupa commission ya 10% ya bei tunayouzia



Kwa mawasiliano unaweza kutupigia

0625648408

0714279663

0755300760 (WhatsApp only)



Kwa wale wanaotaka kujua jinsi mfumo unavyofanya kazi tembelea
https://www.ims.tehamamtatuzi.co.tz ,



Tumia login credentials zifuatazo kuingia kwenye mfumo

Email: admin@gmail.com

Password: admin123
 
Back
Top Bottom