JumaMohammedi
Member
- Apr 8, 2024
- 14
- 11
Huwezi shindana na Mchina maana 5.3kw anauza $300 na ni hybridSU VASTIKA SOLAR INVERTER
SU-VASTIKA
Inverter kutoka India zenya ubora wa hali ya juu
Kwa sasa zinapatikana dukani kwetu zipo size kwanzia 850VA hadi 5500VA
Warranty ipo.. karibu sana ndugu mteja
0653 615 773
Zinauzwa mkuu.. karibu sanaMnakodisha au mnauza?Weka na bei yake.
Ndio mkuuTaja bei. Ina MPPT Controller ndani?
mkuu mm sijaelewa kidgo kwa hayo maelezo ni kwamba hizi unamaanisha ni AC zinazotumia solar au.?Ndio mkuu
850/12V - TZS 190,000
1050/12V - TZS 200,000
2000/24V - TZS 340,000 WITH ATC
2500/24V - TZS 550,000 WITH ATC
3500/36V - TZS 950,000 WITH ATC
5500/48V- TZS 1,950,000 WITH ATC
ATC - Automatic Temperature Compensation
Hapana mkuu ni mashine za inverter zinatumia solarmkuu mm sijaelewa kidgo kwa hayo maelezo ni kwamba hizi unamaanisha ni AC zinazotumia solar au.?
mkuu mwenzio elimu ndogo jamanii sijasoma kihivyo shule ilinishinda..mm sijui maana ya inverter embu fafanua kwa kiswahili hiyo INVERTER ndio kitu gani hasa na kazi yake nini na inatumika kwa madhumuni gani.!Hapana mkuu ni mashine za inverter zinatumia solar
Hizo mashine za Inverter hutumika wakati umeme umekatika.mkuu mwenzio elimu ndogo jamanii sijasoma kihivyo shule ilinishinda..mm sijui maana ya inverter embu fafanua kwa kiswahili hiyo INVERTER ndio kitu gani hasa na kazi yake nini na inatumika kwa madhumuni gani.!
asante sana mkuu, bila shaka hii inafaa pia hata kwa nyumba ambazo hazina kabisa umeme wa Tanesco ila ndani ya nyumba tayari una wiring yako..kama ni hivi basi itawafaa sana ndugu zangu kule kijijini ambao wanatumia vibatari ngoja nitawafanyia mpangoHizo mashine za Inverter hutumika wakati umeme umekatika.
Inawasha vifaa vya umeme wakati main switch umezimwa.
Inverter hubadilisha Direct current (DC) kuwa Alternating current (AC).
Hiyo DC inazalishwa kutoka kwa paneli ya jua.
Inverter za solar huwa zinazalisha DC kutoka jua na hio mashine inabadilisha DC kuwa AC na hivyo umeme huo huweza kutumika kama umeme wa kawaida tu.
Karibu sana mkuu kama kuna swali lolote lingine.