kabintispecial
Member
- Feb 16, 2014
- 67
- 31
kama akili ingekua hela basi ningekua millionaire..!katika akili yangu nina idea nyingi za biashara tena nzuri,ila tatzo ni capital..kila ninakoenda kupata msaada they either want money ama ngono..nimechoka hii kitu coz imekua ngumu sana...so i call upon nyie watu ambao mpo financially capable please invest in this brain of mine..you wnt regret.!

Tiririka hizo ideas japo kwa kifupi au tupe ushahidi wa integrity yako na viability your ideas otherwise mtu hawezi kukurupuka.Binafsi nina capital kidogo Mungu kanijalia ila sina idea wala uzoefu so ni PM kunipa idea zako tunaweza kufanya kitu
Kila kitu kilichopo duniani kilitokana na idea ya mtu fulani.electricity,magari,ndege etc.watu hao wenye idea waliaminj na kuto kata tamaa kuhusu idea hizo.kama idea zako ni viable,keep on.utapata tu namna ya kuziweka halisi.mtaji sio tatizo really!If you search you will find
hilo ndo tatzo la ideas..unaweza kumtajia mtu akakusikiliza na kulifanya mwenywe apo unabaki kushangaa.!
Hahahahahaaa ndio maana hataki kuziweka humu jamvini lakini pia utapataje investors kama hutowaambia idea yako? Ni changamoto ila ni vile tu sisi waafrika hatuheshimu ubunifu wa mtu na ni wa binafsi.kuna kipindi British council walikuwa na program ya kuwakutanisha watu wenye business ideas pamoja na wajasiriamali wakubwa ili waweze kuinvest ila mwisho wa siku program ilikufa sababu hao wajasiriamali wenye hela walikuwa wana implement hizo ideas bila kuwashirikisha waliozitoa
kama akili ingekua hela basi ningekua millionaire..!katika akili yangu nina idea nyingi za biashara tena nzuri,ila tatzo ni capital..kila ninakoenda kupata msaada they either want money ama ngono..nimechoka hii kitu coz imekua ngumu sana...so i call upon nyie watu ambao mpo financially capable please invest in this brain of mine..you wnt regret.!
Na kama kweli wewe ni kichwa kstika kubuni idea mbalimbali , sioni kosa hata kidogo kutaja japokuwa tatu tu , then utapata watu wanaweza kuinvest katik hio brain yako
Woga ndo mshilikina number moja wa kuzuia maendeleo ya mwanadamu
mkuu idea za biashara si ishu ishu ni practise mbona waga ziko openi? Tembelea mitandao inayo conduct mashindano ya kuandika business proposal utakuta kuna idea za kufa mtu na ziko open kila mtu anasoma, watu huwa tunazani ukitangaza idea zako ndo watu watazichukua, kuna tecnical isues katika idea ambapo wewe mwanzilishi ndo pekee unaye zijua. Chukulia mfano ndege za kijeshi, huwa kayika ndege za kijeshi kuna feature chache sana zinazofichwa ambapo ni nchi watengenezaji tu ndo huwa wanazijua.
Imagine Benki zingekuwa zinatoa mikopo kwa wenye ideas?
Si benki zote zingekuwa zimefilisika?
Leo ukitangaza watu wenye Idea waje kuna milioni 100 watakuja watu 10,000
Tatizo sio mawazo you have to prove kwanza.
Every idea displayed in public is millions lost.!kwa yule ambae anajua yupo financially capable with a few millions to make hundred anipm.!ushauri wenu mzuri sana..ila no matter what siwezi display idea zangu hapa.!
Your missing the point my sister!
Sijasema ulete ideas zako hapa.
Chasha na mimi tumesema anza ku practice watu waone kwanza sio ideas zipo kichwani utegemee watu wakupe sheque milioni 100.
Hakunaga my dear