Wewe tafuta mtandao wa Bidnetwork, huko kuna Proposal na idea za kufa mtu, na kama vipi nitakuwekea na mitandao mingine inayo endesha mashindano ya michanganuo ya biashara uone, idea ziko wazi public
Hahahahahaaa ndio maana hataki kuziweka humu jamvini lakini pia utapataje investors kama hutowaambia idea yako? Ni changamoto ila ni vile tu sisi waafrika hatuheshimu ubunifu wa mtu na ni wa binafsi.kuna kipindi British council walikuwa na program ya kuwakutanisha watu wenye business ideas pamoja na wajasiriamali wakubwa ili waweze kuinvest ila mwisho wa siku program ilikufa sababu hao wajasiriamali wenye hela walikuwa wana implement hizo ideas bila kuwashirikisha waliozitoa