Invest Please

Invest Please

Hahahahahaaa ndio maana hataki kuziweka humu jamvini lakini pia utapataje investors kama hutowaambia idea yako? Ni changamoto ila ni vile tu sisi waafrika hatuheshimu ubunifu wa mtu na ni wa binafsi.kuna kipindi British council walikuwa na program ya kuwakutanisha watu wenye business ideas pamoja na wajasiriamali wakubwa ili waweze kuinvest ila mwisho wa siku program ilikufa sababu hao wajasiriamali wenye hela walikuwa wana implement hizo ideas bila kuwashirikisha waliozitoa

Hahahaaha aende kwa dragon's den
 
Mi ninavyojua kama una bright ideas labda ukafanye kazi katika makampuni kama bakhressa halafu unaweza kumpa idea zako halafu ukapata percentage,
 
Back
Top Bottom