Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Wale wapelelezi wao wanatumia sana akiliMy favourite channel kwa DsTV. Inakupambanua akili jinsi ya kukabiliana na mazingira, watu, situation etc, na namna gani vitu hivyo vitatu vinaweza kukusaidia au kukuangamiza hususani yanapokuja maswala yanayohusiana na uhalifu.
Kuna moja huwaga naikumbuka sana jamaa alisingiziwa kuua mwaka 1980 ila amekuja kutoka mwaka 2000 baada ya wapelelezi na rafiki zake kumpigania sanaBinafsi huwa naielewa Sana, kuna ishu nyingine kujulikana kwake huwa naamini ni mapenzi ya mungu,kuna ishu moja mwamba kaamua mtu bafuni kamkatakata vipande vidogo vidogo kisha kamtupa ziwani, lkn miaka mingi baadae akajulikana
channel namba ngapi hiyo?Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani
Ni ukweli usipingika kwamba wahalifu wa marekani wanatumia akili kubwa sana na wapelelezi na polisi wa marekani kwa kiasi kikubwa sana wanatumia akili kubwa sana
Kitu ambacho wananifurahisha ni hata ipite miaka kumi bado muhalifu anaweza kukamatwa
Kutokana na hii reply yako, nauliza hakuna link au tag humu ya jeshi la polisi nataka wasome hii reply yako?.Huko ndo wanaonesha maana halisi ya uchunguzi na wapelelezi sababu hata wakimkamata mtu akikataa kuongea wanakausha wanatafuta ushahidi kamili unaomlink mtu sio kama huku bongo wakimhisi tu mtu wanamkamata wanampa kipigo eti akiri makosa yani hawajishugulishi kabsa mwsho wa siku mtu anasota mahabusu kumbe hajahusika...
FBI files ndio balaa , kuna mambo mle ukiangalia unabaki kinywa waziKama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani
Ni ukweli usipingika kwamba wahalifu wa marekani wanatumia akili kubwa sana na wapelelezi na polisi wa marekani kwa kiasi kikubwa sana wanatumia akili kubwa sana
Kitu ambacho wananifurahisha ni hata ipite miaka kumi bado muhalifu anaweza kukamatwa
DSTV channel ngapi?Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani
Ni ukweli usipingika kwamba wahalifu wa marekani wanatumia akili kubwa sana na wapelelezi na polisi wa marekani kwa kiasi kikubwa sana wanatumia akili kubwa sana
Kitu ambacho wananifurahisha ni hata ipite miaka kumi bado muhalifu anaweza kukamatwa
Hakuna Mnyonge Huku [emoji3]Kwa jf navoijua, Kila mtu atakuja apa kusema hiyo ndo best channel yake
Gap ni kubwa sanaWeledi kwenye crime investigation na prosecution bado sana huku , vyombo vyenyewe havina weledi ,vinatumika kisiasa na wanafanya ujambazi na uhalifu kama wahalifu wengine
Huyo ilibidi baada ya kukwepa huo msala achinje ngamiaKuna moja huwaga naikumbuka sana jamaa alisingiziwa kuua mwaka 1980 ila amekuja kutoka mwaka 2000 baada ya wapelelezi na rafiki zake kumpigania sana
Mwaka 2000 kuna mtu alikuja akasema jamaa hakuhusika
Mie huwa naipita pia tu sijawai kuichek hata dk 10,,Kwa jf navoijua, Kila mtu atakuja apa kusema hiyo ndo best channel yake