Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

Naomba nipate jibu toka kwa mtu yoyote wa HR. Kama mtu amefika Chuo kwanini mnataka alete vyeti vya la saba, form 4 na 6. Naona kama mna pile up paperwork tu.
 
Japo sio HR ila najibu kwa ninavyofahamu wanataka kuhakiki kama ni wewe mhusika toka awamu ya chini. Bongo hatuaminiani(hujatumia jina la mtu mwingine ngazi za chuo)

Najua nitakuwa out of context ila naomba kufaham mara ya mwisho mahakama kuajiri ilikuwa lini ni mda sasa naona kimya sana kuhusu huu muhimili au wao awahitaji rasilimali watu
 
Masharti mengi sana yaani, nimeshindwa kuapply kwa sababu ndogo tu! Wanahitaji pdf document ambayo ni less than 1.0Mb na Academic transcript yangu iliyothibitishwa ina 1.25MB.

Naona ni bora waangalie hayo masharti wanayoyaweka aisee
 
Doh mkuu mbona hiyo sio ishu kabisa. Ingia tu google andika pdf size compressor zipo kibao unapunguza size ya file bure na easy sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…