She is not Kenyan. just typical xenophobia towards Kenyans. No wonder many of Kenyans investors shy away from investing in Tanzania where average mentality is about "Kenyans are thieves"
my point exactly....mmoja alishikwa hapa nyayo estate embakasi gate b.hawa warejareja..hukusikia mada za kipuzi kaa iziI love it when pea brains post to show exactly what they are missing. Watanzania wameshikwa mara ngapi Kenya na wizi? Kuna mchangiaji alianzisha thread akisema wabongo ni wezi? magaidi?
Si mnalea wezihujui apa embakasi nyayo estate mtz wa rejareja alikamatwa...hukusikia ujinga kama huu wakutukana nchi nzima
poa bossSi mnalea wezi
Ni kweli kaibaTuma picha ndg na ni duka gani hapo mlimani city
Shei is a thief and a Kenyan! sasa shida iko wapi? kwani wizi si sifa? aitwe anavyoitwa very well mlimani city, hongerani hii sio kenya let them keep their skills kwao,Sure i don't think kama kweli kashirikisha ubongo wake, kosa la mtu mmoja usitukane wakenya wote,is not fare
Wakenya Leo mnakataa sifa [emoji23][emoji23][emoji23], c kila kitu kpo kwenu nyie,She is not Kenyan. just typical xenophobia towards Kenyans. No wonder many of Kenyans investors shy away from investing in Tanzania where average mentality is about "Kenyans are thieves"
Ni kwel wala c busara kitu kama iyo kufanyiwa kwa mtuthis statement clearly indicate how empty you are upstairs...Wajua watz wangapi wakokenya wewe?Am quite sure there is no connection btwn your hands when typing with your brain
Bakini kwenu nyie na wizi wenu kwani alitumwa aibe kama ni kawaida yenu kutetea wezi basi msituletee wezi wenu hukuxenophopia na inferioty complex ilipeleka watz kufanya hivyo, nothing else.... waizi na conment kutoka naigeria hushikwa huku kenya na ni hata hutaskia ikiongelewa kwa news, hubaki story za mtaa...
Kwa kuandika hilo bango ba kupost hizo mapicha kila mtu aone, haina tofauti na malengo ya wale magaidi hushika yeyote kutoka nchi za magharibi na kumuabisha mbele ya camera ili kutia nchi husika aibu na machungu... lets face it, hao watu walio fanta hivyo kwa huyo mwanadada, hio jamii inajiona iko chini na inferior kwa wakenya, kwahivyo kufanta hio statement, ni kama an act of rebelion or reveng because you have resentment.... kama ingekua mwizi toka malawi au burundi hamngemfanya hivyo......
just imagine, kama huku kenya tushike mwizi kutoka nchi kama marekani alafu tumuaibishe hadharani, i bet some of us will feel good about ourselves because we have humiliated a country wich we feel inferior to...... thats whats happening here, I bet hawa watz walikua wanaona wame acomplish kitu kikubwa walipo fanya hivi... thus i say... xenophobia towards foreigners and inferiority complex for kenya ndo iliwapeleka kufanya hivi
nimesahau kuongeza na sterio typing kutokana na propaganda za ki ujamaa ikiongozwa na CCM...Bakini kwenu nyie na wizi wenu kwani alitumwa aibe kama ni kawaida yenu kutetea wezi basi msituletee wezi wenu huku
Mkafie kwa al shabab huko malizaneni kwanza shida zenu za ukabila ndo uanze kuwaza hizo mambo za jiraninimesahau kuongeza na sterio typing kutokana na propaganda za ki ujamaa ikiongozwa na CCM...