TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Sikatai kua kodi inaweza anzisha miradi mingne watu wakaajiriwa..BT to be honest unawajua viongozi wenu Tabia zao..
Hata sisi tz hela za utalii na madini tumeanza ziona siku hizi baada ya Mzee kuwakazia wapigaji ..
Kaa mnataka kuinvest kwenye mahotel hayo sio dhambi BT chagueni viongozi ambao watapunguza rushwa ili kodi hiyo ionekane na ndio mfanye miradi mingne.. Mbona kenya kungekua hakuna ulafi wa hela za serikal mngekua mbali Ila hizo rushwa Anko hata hizo kodi za mahotel hamtaziona .. Najua unaelewa

Kama magorofa hayana faida kinachowafanya kujaza server za jf kwa tugorofa 4 twa Dar ni nini?
Mnapopost eti watalii 800 sijui kutoka china kuja bongo huyo mwananchi wa kawaida au mnyonge anafaidika vipi kuondoa unyonge wake?
Wivu tuu sema ndo hivyo mkubwa nchi haiaminiki na yeyote