Investors seek nod for 61-floor Watamu hotel

Sikatai kua kodi inaweza anzisha miradi mingne watu wakaajiriwa..BT to be honest unawajua viongozi wenu Tabia zao..
Hata sisi tz hela za utalii na madini tumeanza ziona siku hizi baada ya Mzee kuwakazia wapigaji ..
Kaa mnataka kuinvest kwenye mahotel hayo sio dhambi BT chagueni viongozi ambao watapunguza rushwa ili kodi hiyo ionekane na ndio mfanye miradi mingne.. Mbona kenya kungekua hakuna ulafi wa hela za serikal mngekua mbali Ila hizo rushwa Anko hata hizo kodi za mahotel hamtaziona .. Najua unaelewa
 
Ustarabu sio kutia huruma au unataka mda wote tuwe tunatukanana ka watoto??? Muda mwingne ka watu wazima mnaambizana bila fujo na huo ndio ustaraabu anko
Ulifaa kwenda shule kwanza kabla ya kujadili mada zozote humu, maana unatia huruma.
 
Ustarabu sio kutia huruma au unataka mda wote tuwe tunatukanana ka watoto??? Muda mwingne ka watu wazima mnaambizana bila fujo na huo ndio ustaraabu anko
Wapi nimekutusi hapo, nimekuambia unatia huruma kwa jinsi unavyopambanua hizi taarifa, inaonyesha jinsi gani umechelewa kwenye masuala ya kiuchumi.
 
Wapi nimekutusi hapo, nimekuambia unatia huruma kwa jinsi unavyopambanua hizi taarifa, inaonyesha jinsi gani umechelewa kwenye masuala ya kiuchumi.
Sawa upo sahihi.. Afu sijachelewa kuujua uchumi mi mwenzio hata darasa moja sijasoma.
 
GTC a.k.a AVIC INTERNATIONAL AFRICA HEADQUARTERS INATESAA!!!!

__________________

__________________
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…