Invoice & Receipt Book

Invoice & Receipt Book

The_Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
241
Reaction score
86
Salaam,
Nahitaji kutengeneza invoice book na receipt book kwaajili ya biashara yangu ndogo nnayoifanya nimeshatengeneza template yenye logo ya biashara.
Niwapi naweza pata huduma hii?
Asante.
 
Samahani ila sijaelewa swali lako yani shida yako ni kuprint hiyo template kwenye kitabu au
 
Salaam,
Nahitaji kutengeneza invoice book na receipt book kwaajili ya biashara yangu ndogo nnayoifanya nimeshatengeneza template yenye logo ya biashara.
Niwapi naweza pata huduma hii?
Asante.

Mkuu, kama upo Dar, wafuate hawa jamaa kwenye hiyo picha wanatengeneza.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    132.6 KB · Views: 137
Salaam,
Nahitaji kutengeneza invoice book na receipt book kwaajili ya biashara yangu ndogo nnayoifanya nimeshatengeneza template yenye logo ya biashara.
Niwapi naweza pata huduma hii?
Asante.

Unahitaji vitabu vingap na ukubwa gan? Tunaweza tukafanya kazi kwa bei nafuu kabisaa!!!!!
 
Kama ni mfanyabiashara mdogo (micro) siyo lazima uwe na hivyo vitu kwa gharama kubwa. Vipo ambavyo vimeishachapishwa tayari. Wewe unanunua na kubandika mhuri wenye jina la biashara yako pamoja na taarifa zingine kama namba ya mlipa kodi (TIN), sanduku la posta, n.k. Hizo unaweza kuzipata kwenye maduka makubwa ya stationery kama Masumin au hata pale Game (Mlimani City).
 
Wasiliana nami nachapisha vitabu hivyo nipm au nipigie kwa 0784 960517 tuchapishie hivyo vitabu
salaam,
nahitaji kutengeneza invoice book na receipt book kwaajili ya biashara yangu ndogo nnayoifanya nimeshatengeneza template yenye logo ya biashara.
Niwapi naweza pata huduma hii?
Asante.
 
Back
Top Bottom