Inyangwa. Ugali wa ndizi unaofanya Wanyakyusa wawe critical thinkers kama kina Mwakyembe, Mwabukusi, Ulimboka, Mwandosya, Mwaisyeje

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Huu ni ugali wa ndizi ulio na maajabu. Ukiula hautabaki jinsi ulivyo.
 
Kama ni wewe ni mlaji wa huu ugali, kwa mawazo kama haya basi umeprove exception to the rule (hayo mawazo uliyotoa sio ya critical thinker..., ni ya wapiga ramli)
 
Mkinga na inyangwa wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom