MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Songoro alishamalizana na Shigongo? Kuna wakati Shigongo alilalamika kumlipa Songoro milioni 150 kumjengea kivuko lakini kazi haikufanyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa aina ya viongozi wetu wanaopigana vikumbo vyuo vikuu kununua PhD, ili watambulike kama Dr. Kilaza, Dr. Kiazi, Dr. Futuhi, nk. Hilo sahau.Juzi nimeona habari jinsi China ilivyoipiku Korea kusini ktk uundaji wa meli za kisasa.
Waafrika tunaweza amua fanya mapinduzi kama tunadhamira, kama China imeweza hata susi tunaweza. Kampuni hio ionwe kwa jicho la tatu, ni uthubutu mkubwa wa kimapinduzi.
Revolution is a hard and long process
Waafrka huwa wanapenda kujibeza na kujidunisha, ingekuwa ni kampuni ya mzungu,muhindi,mwarabu au mchina viherehere wengi humu wangepongeza.
Majibu anayo Kasimu MajaliwaKatengeneza meli nyingi tu na vivuko na tena hajaanza wakati we ulipomjua. Je umeuliza hiyo meli ilikuwa na hitilafu gani?
Hivi wewe Wachina unawaonaje ?Juzi nimeona habari jinsi China ilivyoipiku Korea kusini ktk uundaji wa meli za kisasa.
Waafrika tunaweza amua fanya mapinduzi kama tunadhamira, kama China imeweza hata susi tunaweza. Kampuni hio ionwe kwa jicho la tatu, ni uthubutu mkubwa wa kimapinduzi.
Uko na utaahira wa ukeuke!Songoro Marines na Mayanga Constructions mmiliki mkubwa kalala Chato.
Magufuli kaingia ubia na kuimwagia kampuni tenda hadi kampuni inazigawa. Sasa Songoro wameanza kukataliwa na kukosa tenda mfano wamekataliwa tenda ya ukarabati wa kivuko cha Magogoni juzi. Ni suala la muda tu kampuni itajifia kwani aliyekuwa nyuma kashaondoka. Kampuni itakuwa kama Sabaya au Makonda, boss kafa kila kitu chafa naye.Uko na utaahira wa ukeuke!
Songoro imeanza Magufuli aliwa bado shule ya msingi.
Mmoliki wa Songoro alianzia kwenye Biashara ya Mabasi ya kutoka Sengerema hadi Mwanza.
Kabla ya kuinunua Marine Boat yard toka kwa wazungu.
Baadae akaingia unia ma Bilionea wa Kikirya almaarufu #Kitana ambae ni mmiliki wa Meli za "Mkombozi".
Kwa sasa Songoro Marine inamilikiwa na mwanawe Major Songoro,ambaye ni Engineer wa ujenzi wa meli.
Taaluma aliyoipata huko nchini Ujerumani.
Kaeni mkipika majungu mpaka mkiingia kaburini.
Nyinyi [emoji304] [emoji2524][emoji304] View attachment 2526563
Songoro unapenda sifa kama wahaya!Ni meli mpya ya mwendokasi iliyotengezwa na kampuni ya wazawa Songoro Marine Yard ya jijini Mwanza iliyozinduliwa katika Ziwa Victoria ambayo imejizolea umaarufu kutokana na ubora wake pamoja na kurahisisha zaidi huduma za usafiri kati ya Mwanza na kisiwa cha Ukerewe.
Kampuni za wazawa zinao uwezo pale zinapoaminiwa.
Pia Soma....
Kampuni Ya Songoro Marine yanyimwa tender ya ukarabati wa kivuko "MV Magogoni" - Songoro Marine waanza kuisoma namba, wanyimwa kazi ya Kivuko cha Magogoni
Ile ishu ilikuwa ngoma ya kimya kimya, meli zilikuwa zina fault kidogo kwenye stability Mzee S alibanwa hakuwa na pakutokea, saizi zimerekebishwa zinapiga kazi.Majibu anayo Kasimu Majaliwa
Najua mengi mno.Ile ishu ilikuwa ngoma ya kimya kimya, meli zilikuwa zina fault kidogo kwenye stability Mzee S alibanwa hakuwa na pakutokea, saizi zimerekebishwa zinapiga kazi.