Ione meli mpya ya Songoro Marine, gumzo Kanda ya Ziwa

Songoro alishamalizana na Shigongo? Kuna wakati Shigongo alilalamika kumlipa Songoro milioni 150 kumjengea kivuko lakini kazi haikufanyika
 
Kwa aina ya viongozi wetu wanaopigana vikumbo vyuo vikuu kununua PhD, ili watambulike kama Dr. Kilaza, Dr. Kiazi, Dr. Futuhi, nk. Hilo sahau.

Viongozi wengi wa Kiafrika hawana maono. Wakiingia madarakani, wanawaza kuiba, kujigeuza miungu watu, nk. Kiufupi ngozi nyeupe imebarikiwa sana ukilinganisha na ngozi nyeusi, iliyo laaniwa.
 
Hivi wewe Wachina unawaonaje ?

Printing Press; Clock, Biogas Plants, Aquaculture n.k. vilikuwa vinafanyika huko China wakati Western Countries bado wapo kwenye zama za Giza.....

Wewe kama unadhani Mchina ni mwenzako mimi nakwambia Wachina ni Industry of the World... wapo busy wanatenda na sio kufanya propaganda...
 
Songoro Marines na Mayanga Constructions mmiliki mkubwa kalala Chato.
Uko na utaahira wa ukeuke!

Songoro imeanza Magufuli aliwa bado shule ya msingi.

Mmoliki wa Songoro alianzia kwenye Biashara ya Mabasi ya kutoka Sengerema hadi Mwanza.
Kabla ya kuinunua Marine Boat yard toka kwa wazungu.

Baadae akaingia unia ma Bilionea wa Kikirya almaarufu #Kitana ambae ni mmiliki wa Meli za "Mkombozi".
Kwa sasa Songoro Marine inamilikiwa na mwanawe Major Songoro,ambaye ni Engineer wa ujenzi wa meli.

Taaluma aliyoipata huko nchini Ujerumani.

Kaeni mkipika majungu mpaka mkiingia kaburini.
Nyinyi [emoji304] [emoji2524]‍[emoji304]
 
Magufuli kaingia ubia na kuimwagia kampuni tenda hadi kampuni inazigawa. Sasa Songoro wameanza kukataliwa na kukosa tenda mfano wamekataliwa tenda ya ukarabati wa kivuko cha Magogoni juzi. Ni suala la muda tu kampuni itajifia kwani aliyekuwa nyuma kashaondoka. Kampuni itakuwa kama Sabaya au Makonda, boss kafa kila kitu chafa naye.

 
Songoro unapenda sifa kama wahaya!

Umeamua kujipigia promo humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…