iOS 15.4 kuja na sauti ya kishoga kwenye Siri

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Kampuni ya Apple itaachia ios 15.4 itakayokuja na vipengele vingi na kimojawapo ni sauti ambayo huwezi tambua kama ni ya kiume au ya kike kwenye Siri.

Msemaji wa Apple amekiri kuwa waliajiri mwanachama kutoka LGBTQ arekodi sauti inayojulikana kama American 5 ili kuunga mkonl juhudi za hao watu.

Ama kweli dunia inaenda kasi sana ukiziba hapa wao wanatumia tech wanapita huku.
 
Chief-Mkwawa unaweza nisaidia link ya kupata microsoft word ambayo haina makorokoro ya office yenye word, excel na powerpoint
 
Kampuni ya Apple itaachia ios 15.4 itakayokuja na vipengele vingi na kimojawapo ni sauti ambayo huwezi tambua kama ni ya kiume au ya kike kwenye Siri.

Msemaji wa Apple amekiri kuwa waliajiri mwanachama kutoka LGBTQ arekodi sauti inayojulikana kama American 5 ili kuunga mkonl juhudi za hao watu.

Ama kweli dunia inaenda kasi sana ukiziba hapa wao wanatumia tech wanapita huku.
Kwenye biashara watu wanaleta kitu chochote ambacho kitawapatia hela bila kujali hicho kitu kinamuathiri vipi mtu mwingine
 
Sidhani. Its all about focus yao inaelekea wapi. Still bado ni open source
Mkuu open source ni Aosp, yaani zile custom rom na vifaniavyo.

Android ya mwisho kuweza kuroot simu kwa app ni Marshmallow yaani Android 6, kunzia android 7 ni ngumu sana kuroot simu, na kuna simu kibao zimefungwa kabisa huwezi ku unlock bootloader wala kuroot.

Kuanzia android 11 kuna hii scoped storage app hairuhusiwi ku access folder la app mwenzake (kama ios) hivyo imelimit uwezo wa apps nyingi sana hasa kwenye ku acess sd card, na. Mafile mbalimbali kwenye simu.

Android 12 nayo wameminya 3rd party apps kujipa uwezo wa kushare vitu inabidi utumie system ya Google wenyewe.

Zamani ulikuwa unaweza ku backup na ADB ila sasa hivi backup ni anachotaka Google mwenyewe.

Wame introduce safetynet, simu uki unlock tu Bootloader apps zote kuanzia Netflix Widevine inapotea Hupati HD, apps za Mabank hazifanyi kazi hadi kina mpesa na Vitu kibao vinapoteza Functionality.
 
Duh aisee watumiaji wa Android nao wamebanwa sana. Enzi hizo root access priviledges zilikuwa nje lakini kwa sasa naona kabisa customization zitapungua sana, na watumiaji watakuwa limited sana kwa upande wa customization. Mara ya mwisho kutumia Android ni 2020 nakumbuka hata ku unlock bootloader kwenye simu yangu ambayo ndiyo ilikuwa njia ya kupata root access, ilizuiliwa nilikaa na simu kama pambo tu wakati nilishazoea kuroot simu na kuweka custom roms.
Nje ya mada, hivi mkuu Windows Mobile ndiyo wamesitisha mazima au watakuja na ujio wa smartphone zao baadaye?!
 
Mtu wa android anabadilisha wallpaper na themes anakwambia anacustomize android anavyotaka.

Miaka inavyokwenda smartphones zinakuwa sophisticated sana.

Sio android au ios.
 
Wamesitisha mazima,

Kulikuwa na os ya Foldable(windows 10x)na rumors za kifaa kidogo kinachojikunja kwa jina la Surface Neo ila naona kimya sana.

Os ambayo ni Close kwa sasa ni steamos ya Steam na handheld gaming console yao ya Steam deck, ila hii ni kwa Gamers zaidi kuliko matumizi ya kawaida.
 
Mtu wa android anabadilisha wallpaper na themes anakwambia anacustomize android anavyotaka.

Miaka inavyokwenda smartphones zinakuwa sophisticated sana.

Sio android au ios.
Wengi ndicho wanachofanya, na kudowoad apk nje ya play store halafu wanasema wako huru na wamecustomize simu.
Na ndio maana wengi ukiwauliza ni kipi anachokosa mtu kwenye ios mlichonacho kwenye android wanatoa majibu ya kuchekesha kwakuwa customization wao wanazosema ni kubadili wallpaper, kudownload mp3 mtandaoni na apk nje ya playstore
 
nisiwe muongo me mwenyew sijuagi kitu kuhusu kuroot sim na faida zake nliwah jaribu kutafuta program ya kurutia nlishindwa
 
Back
Top Bottom