Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuroot ni kama kufungua mlango kwenye Android ambao utakuwezesha kubadili mpangilio wa simu yako jinsi unavyotaka. Kwa hiyo kuroot kunategemeana zaidi na model na version ya simu yako, kuna nyingine kuroot itakubali kwa root file ambalo utaflash, kwa wengine itakubali kwa adb na command line ya windows, kuna wengine wataroot kwa app ya simu, inategemeana na mfumo wa software na hardware kwenye simu yako. Kwa hiyo unaweza kufanya utafiti kidogo kama simu yako inaweza kupata root access, halafu unatafuta files specific za simu yako. Hapo inakuwa rahisi zaidi.nisiwe muongo me mwenyew sijuagi kitu kuhusu kuroot sim na faida zake nliwah jaribu kutafuta program ya kurutia nlishindwa
Brother naona dp yako ina rainbow kabisaMmojawapo atakuwa member mmoja wa jf humu