iOS 16 yalalamikiwa kwa kuua uwezo wa Betri za iphone

iOS 16 yalalamikiwa kwa kuua uwezo wa Betri za iphone

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1664357299386.png

Ni wiki mbili tu zimepita tangu iOS 16 itoke lakini watumiaji wengi sana wanalalamika kuisha charge haraka na Battery Life inazudi kushuka katika zile asilimia.

Asilimia 63% ya watumiaji wamelalamika Battery kuisha charge haraka na battery life kushuka. Pia ukilinganisha na iOS 15, mfumo wa iOS 16 unatumia sana charge kuliko iOS ya zamani.

Huwa ni kawaida kila unapotoka mfumo mpya, ni vyema kusubiri kidogo ili matatizo yake yawe fixed ndio uhamie. Hasa kwa simu za iPhone 8 mpaka iPhone 11. Tutegemee mfumo wa iOS 16.1 utaweza kuweka sawa matatizo ya charge kuisha haraka.

Wapo ambao wanahisi Apple inafanya makusudi ili kulazimisha watumiaji wake kuhamia katika simu mpya!
 
Back
Top Bottom