Ipad Naitupa Hiyo

Sasa hapo kosa lake like wapi a genius kubwza mambo
Kosa hapo sio kuuza ipad mzee! Ishu ni hilo saga la ipad yenyewe! Angeishia tu kusema anauza ipad ila hayo mengine kajivua nguo



Aisee vipi kwanza! Kitambo sana! Mlifungua shule nini!?[emoji1787][emoji1787] Upo likizo ya sikukuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo likizo wewe sikuiz umenitenga
 
Ujue huna hela.. watu ambao sio wateja huwa wana vijisababu lukuki vya kuikimbia bidhaa[emoji1787][emoji1787]
Ana shobo Na ni masikini hataki kuonekana yupo nyuma ya vitu asivyoviweza
 
Acha shobo na wanaume za watu. Nimeoa,mke wangu akiona unaleta shobo za upinde itakugharimu
Hivi mwanaume unapata wapi nguvu ya kusema niache shobo na wanaume za watu mbona ww ndio una sound kama upinde mpindisho. Uliemuoa wanakusaidia kibaka wa blue. Umeiba hutaki tuseme ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…