INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Friji ndogo zile za milango miwili au mmoja za kukaa geto tu bei gani,na tcl tv inch 32
Laki 360 unajipatia Hisense mlango mmoja nzuri kabisa

TCL
32 kawaida sh 325,000/=
32 Smart android sh 410,000/=
images (62).jpeg
 
Kuna boya anatafutwa hapa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali na atapatikana tu kwasababu watanzania hatujifunzi.

Kama kuna mtu anatafutwa kupigwa ujue muda wake wa kuibiwa umefika so, hata useme vipi hawezi kukuelewa.

But nowadays wauza vitu mtandaoni wengi wao unalipa mpaka mzigo ufike getini kwako, nyie mlio nje ya nchi ya Daresalamu ndiyo tatizo, unaweza tumiwa mzigo ukifika unaanza story kibao...
 
Hisense inverter Air conditioners

Hisense Christmas 🌲🌲⛄🌲⛄ offer

Hisense split btu9000TR4 - sh 870,000/=

* Hisense split btu12000TR4- sh 960,000/=

Hisense split btu18000TR4 - sh 1,270,000/=

Hisense split btu22000TR4 - *1,625,000/=
IMG-20220929-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom