INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Sp 4022.....65,000/=
IMG-20221207-WA0000.jpg
 
December ikifika production cost inapungua ama huwa inakuwaje.
Yaani kibarua kiwandani analipwa kidogo,raw materials, energy or power iliyo tumika inapungua pia na transportation cost pia zinapungua huko majini ama angani na mafuta automatic yanashuka Bei na mwenye fremu unapouuzia anashusha Bei pia na tra wanapunguza Bei.

Mie navyojua Kama Bei ilikuwa let say 600k,mteja akija unamwambia Bei ilikuwa 850k ila saivi siku kuu tunauza 700k ,yaani navyojua wanapoitiwa offer ndio eti Kuna punguzo ndio Kuna kupigwa zaidi. Sema bana Nini biashara Tamu mno. Sijawahi ona fani tamu na nzuri mbele ya biashara binafsi kwangu.yaani unapiga mdomo unamuibia mtu kwa hiari yake mwenyewe. In short biashara Ni wizi sema wa makubaliano. Kila Aina ya trade Ni wizi. Mana daktari anakuibia pia anapokutibu sema mnakubaliana.
Trade your skills with money. Trade your money to buy time and skills za wengine.

Trade your time and money with knowledge. Trade your services and goods with money . Any whatever you've got. So make sure you've something in this world otherwise you will trade your human muscles energy with hand to mouth.
 
December ikifika production cost inapungua ama huwa inakuwaje.
Yaani kibarua kiwandani analipwa kidogo,raw materials, energy or power iliyo tumika inapungua pia na transportation cost pia zinapungua huko majini ama angani na mafuta automatic yanashuka Bei na mwenye fremu unapouuzia anashusha Bei pia na tra wanapunguza Bei.

Mie navyojua Kama Bei ilikuwa let say 600k,mteja akija unamwambia Bei ilikuwa 850k ila saivi siku kuu tunauza 700k ,yaani navyojua wanapoitiwa offer ndio eti Kuna punguzo ndio Kuna kupigwa zaidi. Sema bana Nini biashara Tamu mno. Sijawahi ona fani tamu na nzuri mbele ya biashara binafsi kwangu.yaani unapiga mdomo unamuibia mtu kwa hiari yake mwenyewe. In short biashara Ni wizi sema wa makubaliano. Kila Aina ya trade Ni wizi. Mana daktari anakuibia pia anapokutibu sema mnakubaliana.
Trade your skills with money. Trade your money to buy time and skills za wengine. Trade your time and money with knowledge. Trade your services and goods with money . Any whatever you've got. So make sure you've something in this world otherwise you will trade your human muscles energy with hand to mouth.
Uzuri huwez mpangia mtu Aishi unavyotaka wewe utasubiri sana this is the free world, wote tungekua na akili zinazofanana kama unavyotaka wewe Dunia ingekua boring and miserable place

Ukiwa complicater na mtu wa ku-reasoning sana biashara itakuashinda ndo maana waliofanikiwa sana kwenye biashara sio maprofesor au Dr Bali ni watu wa kawaida, dunia nzima Kuna msimu wa kuuza kwa discount na kuuza kawaida Sasa nakushangaa unavyoshangaa Ila inaonekana upractice biashara Bali unajua biashara ya kwenye vitabu
 
Kuna Prof mmoja wa mathematics Ni billionaire. Ila nashukuru kunijibu pia kuniweka relini. Bora nimetoa ujinga wake wazi umeonekana nikaelekezwa Jambo zuri. Ningekaa kimya ningekuwa mjinga daima.

Wachina Wana msemo kuwa aulizaye swali anakuwa mjinga ndani ya dakika tano tu Ila asiyeuliza Ni mjinga daima.

Ingawa hujanijibu hata ukisema dunia nzima. Hii so Ni career zingine Kama kilimo kilivo ama afya mkuu. Ivyo the same techniques kwani mteja si Ni mtt wa kudanganya na anapenda punguzo ama kumwambia nakupunguzia wewe tu. This is universal haina kwamba upo Arabs, Africa,Europe ama Asia

Tuongee ule ukweli Kama kuelimishana.
Yaani mteja anapenda discount ndio psychology ya mteja ama nakosea.
Sio kuwa Nina mbaya na your business Ila napenda tuongee ukweli Mana mtejaa mie najua Ni sawa na mtt.mfano katika mahusiano kila mtu anakuwa mtt kwa mwenzake so anakuwa Ni mwendo wa kudanganya smt.

Sina Nia ya kushambuliana ama kuonyesha ujuaji.nilipokosea wewe ongea maneno makali Wala usiogope tumia hata alama.
Mana napenda niwe sugu kwa maumivu. Yaani najijenga kiasi kwamba neno lisiwe na influence na emotions yoyote kwangu.
 
Billionaire traders are the wealthiest traders in the world, earning more than 1.000.000.000 dollars from trade assets.
Top 5 Famous Billionaire Traders in the World
George Soros
Carl Icahn
Ray Dalio
Ray Dalio forex trading
David Tepper
James Simons

The Richest and most famous active traders in the World list in 2022 are:
George Soros (8.6 billion dollars)
Paul Tudor Jones II (7.3 billion dollars)
John Paulson (4.0 billion dollars)
Andreas Halvorsen (6.3 billion dollars)
Bill Ackman (3.3 billion dollars)
Before you see the wealthies
The top 15 most prosperous stock traders in the US in 2022. are:
Warren Buffett $107.2b
Jim Simons $24.4b
Ray Dalio $20b
Carl Icahn $15.6b
David Tepper $15.8b
Ken Griffin $20.8b
Steve Cohen 15.9b
George Soros 8.6b
Israel Englander 10.5b
David Shaw 7.5b
David Siegel 6.5b
Chase Coleman III 10.3b
Paul Tudor Jones II 7.3b
Bruce Kovner 6.2b
Stanley Druckenmiller 6.8b

Hawa wote wanafanya biashara ambazo inabidi upate shule sio Kama kuagiza mzigo China ama Dubai na Kuja kuuza dukani. So usiponde mno wasomi hata Kama unayo mabilioni kwenye self na hujasoma. Na bado najua Utawalipa hao hao unaowanga ili wakufundishie wanao.

Haiwezekani daktari afanye biashara Ni Nani atakutibu Sasa ukiugua ama mkeo akiwa anajifungua labda kwa operasheni.

Narudia kusema hao wote hapo juu hawafanyi biashara za uchuuzi wa bidhaa. Wanafanya biashara wanazotumia maarifa ambayo yanapatikana kwa kusoma.
So mbona unaponda kusoma lakini ama wewe Ni la saba unavyo bilioni kadhaa unavimbia wasomi. Na huku wanakutengenezea materials uliyojengea nyumba yako. Unapita juu ya daraja walilojenga wasomi. Unaagiza mzigo huo kwa meli ambazo wasomi wamezitengeneza. Unasafiri unapita juu ya madaraja yaliyojengwa na wasomi.

Ama tusiwe na wasomi kabisa mkuu ama tuna chuki nao tu.

Na ndio Mana mtu akipata pesa anakuja kuongea kuwa wale waliokuwa wa kwanza class wako wapi saivi.
 
Hao ni wachache sana katika list ya mabilionnaire ni nadra sana kukuta ana elimu ya master na kuendelea, usiende mbali angalia hata hapa Tanzania Ile top ten ya matajiri unafikiri bakheresa ana PhD au masters ya biashara hana
Sijakataa mheshimiwa Ni wachache. Ujue kitabu kinakifundisha u play safe na huku utajiri ama biashara inatakiwa u take risks.
 
Tumia hii ndo iko economical
3G+1E+EO: Ina maana jiko lina plate 3 za gas, plate 1 umeme na Oven ni umeme sababu inakupa option ya gas kama hutaki kutumia umeme, Ila pia kama gas imekuishia ghafla unaweza tumia umeme kwa hiyo una save time

Ila kwa ishu yako ya tarrif four ni Bora uka opti yanayotumia gas tu
Hizi zina oven?
 
Tuachane
Hii comment sio sawa na Ile ya kwanza nikukumbushe sio kila mtu ni tapeli kama unavyoamin
Hapa inatakiwa labda ukiwa umesajili biashara yako brela hata name tu inakusaidia mno.ujue watu wameibiwa mpaka Wana maumivu labda.

Kuna kurasimisha biashara so mtu anakuwa anajua biashara yako nadhani unajitangaza social networks zote pia na hata kwa tv once per month inatosha kuji brand mkuu. Mana biashara Ni brand and reputation ya wateja
 
Billionaire traders are the wealthiest traders in the world, earning more than 1.000.000.000 dollars from trade assets.
Top 5 Famous Billionaire Traders in the World
George Soros
Carl Icahn
Ray Dalio
Ray Dalio forex trading
David Tepper
James Simons

The Richest and most famous active traders in the World list in 2022 are:
George Soros (8.6 billion dollars)
Paul Tudor Jones II (7.3 billion dollars)
John Paulson (4.0 billion dollars)
Andreas Halvorsen (6.3 billion dollars)
Bill Ackman (3.3 billion dollars)
Before you see the wealthies
The top 15 most prosperous stock traders in the US in 2022. are:
Warren Buffett $107.2b
Jim Simons $24.4b
Ray Dalio $20b
Carl Icahn $15.6b
David Tepper $15.8b
Ken Griffin $20.8b
Steve Cohen 15.9b
George Soros 8.6b
Israel Englander 10.5b
David Shaw 7.5b
David Siegel 6.5b
Chase Coleman III 10.3b
Paul Tudor Jones II 7.3b
Bruce Kovner 6.2b
Stanley Druckenmiller 6.8b

Hawa wote wanafanya biashara ambazo inabidi upate shule sio Kama kuagiza mzigo China ama Dubai na Kuja kuuza dukani. So usiponde mno wasomi hata Kama unayo mabilioni kwenye self na hujasoma. Na bado najua Utawalipa hao hao unaowanga ili wakufundishie wanao.

Haiwezekani daktari afanye biashara Ni Nani atakutibu Sasa ukiugua ama mkeo akiwa anajifungua labda kwa operasheni.

Narudia kusema hao wote hapo juu hawafanyi biashara za uchuuzi wa bidhaa. Wanafanya biashara wanazotumia maarifa ambayo yanapatikana kwa kusoma.
So mbona unaponda kusoma lakini ama wewe Ni la saba unavyo bilioni kadhaa unavimbia wasomi. Na huku wanakutengenezea materials uliyojengea nyumba yako. Unapita juu ya daraja walilojenga wasomi. Unaagiza mzigo huo kwa meli ambazo wasomi wamezitengeneza. Unasafiri unapita juu ya madaraja yaliyojengwa na wasomi.

Ama tusiwe na wasomi kabisa mkuu ama tuna chuki nao tu.

Na ndio Mana mtu akipata pesa anakuja kuongea kuwa wale waliokuwa wa kwanza class wako wapi saivi.
Wana PhD au ni maprofesor
 
Tuachane

Hapa inatakiwa labda ukiwa umesajili biashara yako brela hata name tu inakusaidia mno.ujue watu wameibiwa mpaka Wana maumivu labda.

Kuna kurasimisha biashara so mtu anakuwa anajua biashara yako nadhani unajitangaza social networks zote pia na hata kwa tv once per month inatosha kuji brand mkuu. Mana biashara Ni brand and reputation ya wateja
Kusajili biashara brela hakumzuii mtu akuibie kylanda ilikua imesajiliwa na vibali vyote na still watu waliibiwa
 
Back
Top Bottom