Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Haya bana Sina neno. Sema Kama mtu mkielewana anakuja tu ofisini kwako kuliko Ile kutumiwa Kama anaogopa.Kusajili biashara brela hakumzuii mtu akuibie kylanda ilikua imesajiliwa na vibali vyote na still watu waliibiwa
Wako waliokuja na wakachukua bidhaa walizokua wanataka hakuna mtu aliyekatazwa kujaHaya bana Sina neno. Sema Kama mtu mkielewana anakuja tu ofisini kwako kuliko Ile kutumiwa Kama anaogopa.
Naomba namba yako nikutumie picha Whatsapp namba yangu hii hapa 0713520180Naomba picha na bei za gas oven kaka
Niko kariakoo dsmMimi ni fan wa LG....,upo mkoa gani?!