Hao wenye franchise wanawapa watu kama sisi bei za jumla ili mizigo Yao iishe mapema Kuna kitu hujui kuhusu soko, mim nikienda Samsung, LG, Hisense au any brand Bei ntakazopewa ni za jumla ni tofauti na wewe
Wafanyabiashara wote huwa tubapewa bei za jumla, mzigo ukija wote tunapewa Bei za jumla kwanin wanafanya hivyo ili mzigo huwahi kuisha sababu kuchelewa kuisha ni hasara, baada ya kupewa bei ya jumla kila mtu anaongeza kivyake wengine wanatafuta profit ndogo, wengine kubwa n.k
Mfano Hisense inch 43 smart 4k ukienda kwa authorized dealers Bei yake ni almost 100,000/= kwetu sis ni 700k+ kwa mtu wa Kawaida automatic atakuja kwetu sis
Na kuhusu ubora wa bidhaa uko wazi swala sio bei, unaweza uziwa kitu bei ghali na bado ukawa umepigwa vilevile