Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
- Thread starter
- #521
Microwave L 20 inapasha tuu Kwa sh 180,000/=
Call/WhatsApp 0713520180
Call/WhatsApp 0713520180
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdau hii hisense nakupa laki tanoHao wenye franchise wanawapa watu kama sisi bei za jumla ili mizigo Yao iishe mapema Kuna kitu hujui kuhusu soko, mim nikienda Samsung, LG, Hisense au any brand Bei ntakazopewa ni za jumla ni tofauti na wewe
Wafanyabiashara wote huwa tubapewa bei za jumla, mzigo ukija wote tunapewa Bei za jumla kwanin wanafanya hivyo ili mzigo huwahi kuisha sababu kuchelewa kuisha ni hasara, baada ya kupewa bei ya jumla kila mtu anaongeza kivyake wengine wanatafuta profit ndogo, wengine kubwa n.k
Mfano Hisense inch 43 smart 4k ukienda kwa authorized dealers Bei yake ni almost 100,000/= kwetu sis ni 700k+ kwa mtu wa Kawaida automatic atakuja kwetu sis
Na kuhusu ubora wa bidhaa uko wazi swala sio bei, unaweza uziwa kitu bei ghali na bado ukawa umepigwa vilevile
Kwa inch 43 smart haiwezekani kwa 500k, ila inch 40 smart unapata kwa 500kMdau hii hisense nakupa laki tano
Hi pinetech sound bar Ni watts ngapi?*Pinetech sound bar || sh 280,000/=
Hii BTU ni ninii...???BTU 9000....sh 725,000/=
BTU 12000...sh 750,000/=
BTU 18000...sh 1,000,000/=
BTU 24000...sh 1,400,000/=
BTU ni uwezo wa ac wa kutoa joto kwenye chumba, ac ikiwa na BTU kubwa inaondoa joto kwenye eneo kubwa na ndoto vice versaHii BTU ni ninii...???
120 watts