INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Ukinunua TV leo kesho bei yake imeshuka. Hivyo bora usubirie angalau miezi 6 bei inashuka

Kuna LG 32" ilikuwa yauzwa 600K, leo ni 380K Mlimani

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kila mtu ana maisha yake na budget yake huwez mwambie mtu asubirie nawakati anataka kitu leo kitendo cha yeye kusubiria ataitumia hela kwa matumizi mingine. Kama uliuziwa vitu bei juu leo vipo chini ndo biashara ilivyo na maisha kwa ujumla.
 
Daaah kumbe bei zinaporomoka kama smartphone za tecno tu. Ngoja nione September itakuwaje
Sio kweli kwamba vitu vinashuka tu bei mda mwingine pia vinapanda pia kulingana na demand and supply

Kwa dar es salaam kuna bei ya kariakoo kamwe haiwez kuwa sawa na bei ya mliman city na kuna bei ya posta nayo pia haiwez kuwa sawa na mliman city
Maisha ni kuchagua ila hakuna ajuaye kesho
 
Ukinunua TV leo kesho bei yake imeshuka. Hivyo bora usubirie angalau miezi 6 bei inashuka

Kuna LG 32" ilikuwa yauzwa 600K, leo ni 380K Mlimani

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
LG inch 32 normal sh 350,000/=
0E08D614-E8A3-48D0-89C5-89B3D964438E.jpeg
 
GREE CASSETTE AIR CONDITIONING AVAILABLE.

12000BTU 2,175,000/-.
18000BTU 2,250,000/-.
24000BTU 2,750,000/-.
36000BTU 3,550,000/-.
48000BTU 4,475,000/-.
Call/WhatsApp 0713520180

52957F97-9930-4AF4-A0A6-18DC24E2C20E.jpeg
 
Back
Top Bottom