Daaah kumbe bei zinaporomoka kama smartphone za tecno tu. Ngoja nione September itakuwajeUkinunua TV leo kesho bei yake imeshuka. Hivyo bora usubirie angalau miezi 6 bei inashuka
Kuna LG 32" ilikuwa yauzwa 600K, leo ni 380K Mlimani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kila mtu ana maisha yake na budget yake huwez mwambie mtu asubirie nawakati anataka kitu leo kitendo cha yeye kusubiria ataitumia hela kwa matumizi mingine. Kama uliuziwa vitu bei juu leo vipo chini ndo biashara ilivyo na maisha kwa ujumla.Ukinunua TV leo kesho bei yake imeshuka. Hivyo bora usubirie angalau miezi 6 bei inashuka
Kuna LG 32" ilikuwa yauzwa 600K, leo ni 380K Mlimani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sio kweli kwamba vitu vinashuka tu bei mda mwingine pia vinapanda pia kulingana na demand and supplyDaaah kumbe bei zinaporomoka kama smartphone za tecno tu. Ngoja nione September itakuwaje
LG inch 32 normal sh 350,000/=Ukinunua TV leo kesho bei yake imeshuka. Hivyo bora usubirie angalau miezi 6 bei inashuka
Kuna LG 32" ilikuwa yauzwa 600K, leo ni 380K Mlimani
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sound bar ni nzuri kwa sababu dunia ipo kwenye soundbar ndo maana hata bei zake zipo juu zaid ya homethieterKwa mpenzi wa movies nichukue kipi kati ya soundbar na home thieter na kwanini? Home appliances
Hii inafanyaje kazi, huwa inadondosha maji kama AC?.Aborder Air cooler 4L.....185,000/=
Sony soundbar 330w s400 tsh 600,000/=Soundbar ya sonny bei gani?