Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
- Thread starter
-
- #1,181
NitarudiHisense inch 65 uhd smart 4k Sh 1,550,000/=
Call/WhatsApp 0713520180
Jagi la umeme kenwood shilingi ngapi? tofauti na kenwood mna kampuni inayodumu muda mrefu? mna warrant?32 double glass sh 250,000/=
Ungeirudisha dukani warranty si walikupa wenyewe au ??Friji mnazo brand gani zaidi ya Hisense? Halafu naomba kujua kama kuna friji feki za Hisense madukani. Hii ya kwangu nilinunua ikaanza kusumbua tokea wiki ya kwanza na mafundi wamekuja zaidi ya mara 6 hadi warranty inaisha lakin bado friji ni mbovu inamwaga maji chini nimeamua kuiacha kama ilivyo.
Hisense ni brand mbovu sana kwa upande wa friji.
Rice cooker zipoJagi la umeme kenwood shilingi ngapi? tofauti na kenwood mna kampuni inayodumu muda mrefu? mna warrant?
Rice cooker mnazo? asante
Walikataa mkuu. Wakasema kama inatengenezeka watai fix kwa gharama yao. Hadi warranty inaisha wamemleta fundi wao mara 5 au 6, na friji bado mbovu.Ungeirudisha dukani warranty si walikupa wenyewe au ??