INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

Sh 170,000/=

35F5796F-C03A-4722-8163-8C28E2B52AD0.jpeg
 
Friji mnazo brand gani zaidi ya Hisense? Halafu naomba kujua kama kuna friji feki za Hisense madukani. Hii ya kwangu nilinunua ikaanza kusumbua tokea wiki ya kwanza na mafundi wamekuja zaidi ya mara 6 hadi warranty inaisha lakin bado friji ni mbovu inamwaga maji chini nimeamua kuiacha kama ilivyo.

Hisense ni brand mbovu sana kwa upande wa friji.
Ungeirudisha dukani warranty si walikupa wenyewe au ??
 
Ungeirudisha dukani warranty si walikupa wenyewe au ??
Walikataa mkuu. Wakasema kama inatengenezeka watai fix kwa gharama yao. Hadi warranty inaisha wamemleta fundi wao mara 5 au 6, na friji bado mbovu.
 
Back
Top Bottom