hii fridge kwasasa ni shingapi?SH 280,000/=
Tunafanya delivery ndo unalipa
Call/WhatsApp-0713520180
Iko poa.Ina mziki mzuri kweli au makelele tu
Option ya gas ipo? NahitajiDeep fryer L12...... sh 280,000/=
View attachment 2431835
Eco show case 193L......750,000/=Hivi kwa laki tano au saba,sipati fridge ambalo ni non frost??
Tv yako hisense inch 43 ulisema ukiconnect na subwoofer haitoi sauti nikakupa solution kuna waya wa kununua
Stki kuongea sana siku moja nitaongea usije sema nakuarbia biashara zako.....ila kuna watu watakuja kutoa ushuhuda humu maana meseji s hukutaka kujibu unapotezea sawaTv yako hisense inch 43 ulisema ukiconnect na subwoofer haitoi sauti nikakupa solution kuna waya wa kununua
Sasa hapo warranty inahusikaje sababu uliniambia tv ni nzima haina shida yeyote ni kwamba uki-connect na subwoofer haitoi sauti kwenye subwoofer