INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

BRUM FRIDGE LITER 208.....sh 700,000/=

B3F05C7F-686E-4D27-8F35-50D613FEA3FB.jpeg
 
Jamaa mbona waranty zako hqIfanyi kazi...? Za miyayusho kwann

Sent using Jamii Forums mobile app
Tv yako hisense inch 43 ulisema ukiconnect na subwoofer haitoi sauti nikakupa solution kuna waya wa kununua

Sasa hapo warranty inahusikaje sababu uliniambia tv ni nzima haina shida yeyote ni kwamba uki-connect na subwoofer haitoi sauti kwenye subwoofer
 
Stki kuongea sana siku moja nitaongea usije sema nakuarbia biashara zako.....ila kuna watu watakuja kutoa ushuhuda humu maana meseji s hukutaka kujibu unapotezea sawa
 
Back
Top Bottom