Ramoth Gilead Appliances
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,764
- 558
- Thread starter
-
- #1,481
MkuuNilishakuambia kitu cha kufanya alafu unanituhumu sms sijibu changamoto uliyonayo brother unauliza the same question over and over alafu ukijibiwa hutaki kuelewa yaan ni kama tayari una jibu lako
Warranty ni tv inapelekwa services centre ya kampuni husika mfano hisense, samasung n.k sio unaletewa fundi, ukipeleka kwa fundi ikafunguliwa tayari umevunja masharti ya warranty
Sio kila tatizo la tv warranty inacover matatizo mengine warranty haihusiki
Mm sijaoeleka tv kwa fundi na nikikuambia ww mwenyew na nkakuambia siwez kuoeleka kwa fundi sabb mafundi wahuni lazma wataleta uhuni ila ulichonijibu ni nn...? Na kwann ili kuondoa utata usiniambie nete mzgo niliponunua au usiniambie mtu wenu wa dukani au fundi wenu wa dukani aje kuangaLia tatz ni nn...?Nilishakuambia kitu cha kufanya alafu unanituhumu sms sijibu changamoto uliyonayo brother unauliza the same question over and over alafu ukijibiwa hutaki kuelewa yaan ni kama tayari una jibu lako
Warranty ni tv inapelekwa services centre ya kampuni husika mfano hisense, samasung n.k sio unaletewa fundi, ukipeleka kwa fundi ikafunguliwa tayari umevunja masharti ya warranty
Sio kila tatizo la tv warranty inacover matatizo mengine warranty haihusiki
Mfano hio tv yake ni nzima kabisa, ila shida yake ni kwamba kwenye sehemu ya audio waya anazotumia hazi-zipeleke sauti kwenye subwoofer na hio changamoto inazo tv za hisense, star x na evvoli ukimwambia haelewei sasa utafanyaje nimeshaongea naye kwenye simu sana na hajawah nipigia simu sikupokea ila ndo kaamua kutumia hio njia unamuachaMkuu
Hii approach yako kwenye utatuzi wa changamoto ya jamaa inakuharibia sana credit.
Ungeongea naye pembeni mkamaliza kimya kimya.
Huyu ni mteja na kuna wateja tarajiwa humu.
Bro mm ni fundi pia japokua sio wa tv wala ni sekta ingne lkn kwenye ufundi wangu huwaga tunanunua mashine huwaga tunazfunga na mda mwngne hzo mashine huwaga zina changamoto ya circuit unaweza inunua dukan ikiwa mpya lk ukiifikisha site unakuta circuit imekufa,huwez mwambia mteja eti hzo mashine ndo zinakuaga na changamoto hzo inabd uchukue urudshe dukani au kama imekaa mwez mmoja au vipi nafight navojua ilimrad mteja wangu kazi yake iende vzr sasa mm nmechukua tv kwkao bro au vp hata miez haina na toka nmechukua sijawah kuitumia kwenye sabufa mm kwa akili yngu ya ufundi tu nahisi upande wa audio au microphone kuna shida tu lazma huwez niambia wire hazisuport hapana na kama wire ni changamoto kwamm usingeniambia niilete kwako uniwekee wire yako ili kama tv n nzma mm nijiridhishe kwann ukakataa ukasema watazngua warantee sijui nini na nini ...? Nikakuambia niipeleke kwa fundi ukanijibu nn unakumbuka...? Na baadae nkakuambia siwwz peleka kwa fundi naweza nkasababsha majanga zaid wkt tv haina hata miez 5 na hio ya kusema hakuna siku niliowah kukupgia simu hujapokea π₯ bro usijtie wema kutaka mm nionekane mshamba au nakuharibia biashara yakoMfano hio tv yake ni nzima kabisa, ila shida yake ni kwamba kwenye sehemu ya audio waya anazotumia hazi-zipeleke sauti kwenye subwoofer na hio changamoto inazo tv za hisense, star x na evvoli ukimwambia haelewei sasa utafanyaje nimeshaongea naye kwenye simu sana na hajawah nipigia simu sikupokea ila ndo kaamua kutumia hio njia unamuacha
Aisee nilikuwa nafuatilia hichi kisa chako hapa hata mimi nimekuelewa kama TV ni nzima akupe yeye waya sahihi halafu kwenye reply yake hapo ametaja TV ambazo zinakuaga na hilo tatizo kwahiyo amekubali kwamba TV ina tatizo halafu hapohapo anasema ni nzima.Bro mm ni fundi pia japokua sio wa tv wala ni sekta ingne lkn kwenye ufundi wangu huwaga tunanunua mashine huwaga tunazfunga na mda mwngne hzo mashine huwaga zina changamoto ya circuit unaweza inunua dukan ikiwa mpya lk ukiifikisha site unakuta circuit imekufa,huwez mwambia mteja eti hzo mashine ndo zinakuaga na changamoto hzo inabd uchukue urudshe dukani au kama imekaa mwez mmoja au vipi nafight navojua ilimrad mteja wangu kazi yake iende vzr sasa mm nmechukua tv kwkao bro au vp hata miez haina na toka nmechukua sijawah kuitumia kwenye sabufa mm kwa akili yngu ya ufundi tu nahisi upande wa audio au microphone kuna shida tu lazma huwez niambia wire hazisuport hapana na kama wire ni changamoto kwamm usingeniambia niilete kwako uniwekee wire yako ili kama tv n nzma mm nijiridhishe kwann ukakataa ukasema watazngua warantee sijui nini na nini ...? Nikakuambia niipeleke kwa fundi ukanijibu nn unakumbuka...? Na baadae nkakuambia siwwz peleka kwa fundi naweza nkasababsha majanga zaid wkt tv haina hata miez 5 na hio ya kusema hakuna siku niliowah kukupgia simu hujapokea [emoji26] bro usijtie wema kutaka mm nionekane mshamba au nakuharibia biashara yako
Nashangaa mkuu halafu anakomaa kiwa kanipa solution na mm nimeikataa inabd kuondoa utata anipe waya yake ambay yy anaona ni nzma au aniambie niilete tv au aje fundi wake aiangalie tv lkn hvyo vyote hajaviongea kama tv yangu itakua ni nzma mm ntakuja hapa hapa kuomba samahani na uzi nitafungua....tatzo ukiongea ukweli anaona kama namuharbia wakat huo mm nmetoa pesa yangu....Aisee nilikuwa nafuatilia hichi kisa chako hapa hata mimi nimekuelewa kama TV ni nzima akupe yeye waya sahihi halafu kwenye reply yake hapo ametaja TV ambazo zinakuaga na hilo tatizo kwahiyo amekubali kwamba TV ina tatizo halafu hapohapo anasema ni nzima.
Hapa naunga mkono hojaa,nilikuwa nafuatilia pia hii sakata lenu.ilipaswa muuzajii akuletee huo wire anaosema unasupport ili ujiridhishe...mimi pia nimenunua tv kwake tcl nch 43 ipo vzr kabisa na nililetewa bahati mbaya sikuletewa risit yangu ya manunuzi.huko juu kwenye uzi nimemgusia risit lakini kanipita kama hanioni..hapa inatuua nguvu wateja..nilitaka niagize sony music system kwake lakini kwa yanayoendelea hapa naona kuna kaubabaishaji.ajitasimini.Nashangaa mkuu halafu anakomaa kiwa kanipa solution na mm nimeikataa inabd kuondoa utata anipe waya yake ambay yy anaona ni nzma au aniambie niilete tv au aje fundi wake aiangalie tv lkn hvyo vyote hajaviongea kama tv yangu itakua ni nzma mm ntakuja hapa hapa kuomba samahani na uzi nitafungua....tatzo ukiongea ukweli anaona kama namuharbia wakat huo mm nmetoa pesa yangu....